Monday, November 13, 2023
HAYATI MARYANNE TRUMP BARRY AMEACHA KASRI LA BIL 60 HUKO FLORIDA-Maryanne Trump Barry Lands Buyer for $24 Million Florida Home
Marehemu Maryanne ambaye alikuwa Jaji katika shirikisho ;a Marekani na Wakili enzi ya Uhai wake huko Florida alikuwa akiishi kwenye kasri ambalo alinunua ardhi na kujenga kwa gharama ya shilingi Billion 60 fedha za Kitanzania-hii ni kufru ya watu na fedha zao…amefariki viuri sababu hakuwa mwanamke fukara,hakika mwendo ameumaliza salama,Huu ni msiba mzito sana kwa Donald ambae anaonekana kubaki mwenyewe baada ya ndugu zake watatu wa tumbo moja familia ...tunapaswa kumfariji Donald katika kipindi hiki cha kuomboleza msiba wa dada yake
The late Maryanne, who was a judge in the United States and a lawyer during her lifetime in Florida, was living in a mansion that she bought land and built at a cost of 60 billion shillings in Tanzanian money - this is an insult to the people and their money... she has died because she was not a poor woman, surely she has finished the journey safely, this is a very serious tragedy for Donald who seems to be left alone after his three siblings from the same family... we should comfort Donald in this period of mourning the loss of his sister
DONALD TRUMP'S SISTER FOUND DEAD IN HER APARTMENT-DADA YAKE TRUMP AFARIKI GHAFLA NYUMBANI KWAKE
Maryanne Trump Barry, dadake Rais wa zamani Donald Trump,amefariki Dunia ghafla siku ya Nov 13
Chanzo cha kifo kinachunguzwa. Kulingana na ripoti, mwili wa Maryanne Trump Barry(86) ulikutwa ndani ya nyumba yake ya Fifth Avenue majira ya saa nne asubuhi katika chumba chake cha kulala cha Upper East Side baada ya wafanyakazi wa dharura kutaarifiwa kuwa katika nyumba hiyo kulikuwa na mtu anaesumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa moyo.
Chanzo cha kifo bado kinachunguzwa, ingawa hakukuwa na dalili za kiwewe ka familia ya Trump.
Msemaji wa Rais wa zamani Trump alikataa kutoa maoni yake.
Maryanne Trump Barry alikuwa wakili wa Marekani na jaji wa shirikisho la Marekani.
Ndugu watatu kati ya wanne wa Donald Trump sasa wameaga dunia. Fred Trump Jr., ambaye alikufa kwa mshtuko wa moyo akiwa na umri wa miaka 42 mnamo Septemba 1981, akifuatiwa na Robert Trump, ambaye alikuwa kaka yake mdogo, alikufa mnamo Agosti 2020 akiwa na umri wa miaka 71.
Maryanne Trump Barry, the sister of former President Donald Trump, was found dead in her apartment around 4 a.m. on Monday.
The cause of death is under investigation.
According to reports, 86-year-old Maryanne Trump Barry was found inside her Fifth Avenue apartment at around 4 a.m.
The sister of former President Donald Trump was discovered dead in the bedroom of her Upper East Side apartment after emergency crews responded to a call of a person in cardiac arrest. The cause of death is still under investigation, though there were no signs of trauma.
A spokesman for former President Trump declined to comment.
Maryanne Trump Barry was an American attorney and a United States federal judge. Three of Donald Trump's four siblings have now passed away. Fred Trump Jr., who died of a heart attack at 42 years old in September 1981, followed by Robert Trump, who was his youngest brother, died in August 2020 at 71 years old.
WE HAVE TO FERA EGYPT CLUBS
South Africans please relax, Nigerian clubs still hold better records
And meanwhile, you only have sundown occupied and carried on by foreigners, that's why the sundown team always takes you no where to recognition in the green , yellow and blue for bafana bafana
JE KOCHA MPYA WA SIMBA NI HUYU BENCHIKHA MBADALA WA ROBERTINOH?
Klabu ya Simba inatajwa kwamba imeanza mazungumzo na Kocha Abdelhak Benchikha ili aweze kuja kuifundisha timu hiyo, mjadala mkubwa hapa ni mshahara wa Kocha huyu ambaye amefanikiwa kubeba makombe mawili makubwa Afrika, Kombe la Shirikisho Afrika na ubingwa wa Super Cup
Kwa mujibu wa tovuti ya 'Transfer Market' Kocha huyu mpaka anaondoka RS Berkane ambayo aliipa ubingwa wa CAFCC 2022 alikuwa akilipwa mshahara wa Tsh.Milioni 53 kwa Mwezi.
Akaenda kujiunga na USM Algers ambao nao aliwapa ubingwa CAFCC 2023 na ubingwa wa Super Cup, mpaka anachana na miamba hiyo ya Algeria alikuwa akilipwa mshahara unaofika hadi kufikia Tsh Milioni 80+
Kiufupi Kocha Benchikha ni mwalimu mwenye mafanikio makubwa kwa soka la Afrika ila pia ana thamani kubwa sokoni.Kama Simba SC wakiweza kumchukua Kocha huyu basi hapo ndo tutasema "Mkubwa hufanya mambo makubwa"
KUMBE KLABU YA SIMBA NDIO BORA KULIKO NYINGINE AFRIKA YA MASHARKI??? WENGNE WATAKIWA KUACHA KUJIPA UBORA
Simba imepata heshima kubwa kwa Mwenyekiti wa Bodi, Salim Muhene kuwa sehemu ya wageni maalumu (VVIP) katika eneo ambalo walialikwa viongozi wa vilabu shiriki pekee vya African Football League katika mchezo wa fainali ya michuano hiyo kati ya Mamelodi Sundowns na Wydad Athletic Club mjini Pretoria, Afrika Kusini. Viongozi wa timu ambazo hazishiriki AFL walikaa sehemu ya mashabiki wa kawaida. #WenyeNchi #NguvuMoja
Sunday, November 12, 2023
WACHEZAJI WASTAAFU WA SOKA NIGERIA WATUNUKIWA phD WEWE VIPI MCHEZAJI WA BONGO??
Super Eagles former number one goalkeeper and ex-captain, Vincent Enyeama was on Saturday, November 11, 2023 awarded a honorary Doctorate Degree by the University of Uyo, the oldest federal university in Akwa Ibom State, Nigeria.
Congratulations Dr. Enyeama Vincent
Subscribe to:
Comments (Atom)
FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE
Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...
-
TAARIFA KWA UMMA Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigiz...
-
🟡Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Yanga itasafiri Jumatatu hii November 20, 2023 kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza...






