Friday, November 3, 2023

DEJAN MLETE MZUNGU AWAKUMBUKA WEKUNDU WA MSIMBAZI

hello simba fans we love you....have a nice weekend 🦁

TFF KUWASHUGHULIKIA WALIOMDUNDA SHABIKI ALIYEVAA JEZI YA YANGA

Bodi ya Ligi Kuu pia imeelezwa kusikitishwa na kitendo cha ukatili na vurugu kilichofanywa na mashabiki waliokuwa wamevaa jezi ya Simba na bluu kumshambukia shabiki wa Yanga katika mechi ya Simba vs Ihefu Uwanja wa Mkapa. Bodi ya Ligi Kuu pia imeelezwa kusikitishwa na kitendo cha ukatili na vurugu kilichofanywa na mashabiki waliokuwa wamevaa jezi ya Simba na bluu kumshambukia shabiki wa Yanga katika mechi ya Simba vs Ihefu Uwanja wa Mkapa. “Bodi kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama inakamilisha mchakato wa kuwatambua mashabiki wote waliohusika na tukio hilo kabla ya kuwachukulia hatua kali,” imeeleza taarifa hiyo.

GAMONDI ATUMIA DAKIKA 180 KUMSOMA MNYAMA ILI KUEPUKA KUKANDWA

Ni Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amewasoma wapinzani wao Simba kwa muda wa dakika 180 baada ya kuwachambua wapinzani wake.Novemba 5 Yanga wanatarajiwa kuwa wageni wa Simba kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi, Uwanja wa Mkapa. Yanga imekusanya pointi 18 baada ya kucheza mechi saba huku Simba pia wakiwa na pointi 18 baada ya kucheza michezo sita. Gamondi alitumia dakika 90 za kwanza za mchezo wa robo fainali ya AFL ambapo alitua kwa Mkapa kutazama mchezo huo ambao ulimalizika kwa Simba kutoa sare ya mabao 2-2. Mchezo mwingine ambao Gamondi aliweza kuushuhudia ulikuwa ni ule wa dhidi ya Ihefu wa ligi kuu ambapo Simba waliibuka na ushindi wa mabao 2-1. Kocha Gamondi atakuwa na kazi moja tu ya kuhakikisha kuwa anaipa ushindi yanga mara baada ya msimu uliopita Yanga kupoteza kwa idadi ya mabao 2-0 dhidi ya Simba kocha akiwa ni Nassredine Nabi. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Simba amesema kuwa wanatambua kwamba kocha wa Yanga alikuwa akiwafuatilia hivyo hawana mashaka.

CAF YAUKATAA UWANJA HUKO GHANA

CAF has rejected the Cape Coast Stadium as venue to host Medeama SC's CAFCL group stage matches. Meanwhile, 💰 Ghana 🇬🇭 received $9million from the 2022 World Cup, the money was shared by the FA officials and players. No one thought about investing some of the money to develop and maintain football facilities. 🏟 This is the state of their best stadium in the country. This venue was closed for renovation a few months ago. NB// If you go to most stadiums in Ghana and want to use the washroom, you have to go home and then come back and continue watching the game. How are countries like Morocco, South Africa, and Algeria able to have multiple quality playing surfaces and facilities and yet other cannot even own just one? 🤔 Ghana why? 😂😂
AF imeukataa Uwanja wa Cape Coast kuwa uwanja wa kukaribisha Medeama SC ya hatua ya makundi ya CAFCL. Wakati huo huo, 💰 Ghana 🇬🇭 ilipokea dola milioni 9 kutoka kwa Kombe la Dunia la 2022, pesa hizo ziligawanywa na maafisa wa FA na wachezaji. Hakuna aliyefikiria kuwekeza baadhi ya pesa kuendeleza na kudumisha vifaa vya soka. 🏟 Hii ndio hali ya uwanja wao bora zaidi nchini. Ukumbi huu ulifungwa kwa ukarabati miezi michache iliyopita. NB// Ukienda kwenye viwanja vingi vya Ghana na kutaka kutumia chumba cha kuosha, lazima urudi nyumbani kisha urudi na kuendelea kutazama mchezo. Je, nchi kama Morocco, Afrika Kusini, na Algeria zinawezaje kuwa na sehemu nyingi za kuchezea zenye ubora na bado nyingine haziwezi hata kumiliki moja tu? 🤔 Ghana kwanini? 😂😂

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...