Thursday, May 3, 2012

Kachala pamoja na kutuhumiwa kuwa mtoto mtukutu lakini anaomba msaada wa tiba ya mguu wake unaomsumbua baada ya kupata vipigo vya mara kwa mara toka kwa wananchi,wasiliana na +255652264040 kuwahisha tiba yake

UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO!!!





Huyu ni Bw Juma Kachala kijana mwenye sikio moja baada ya kukatwa kama adhabu badala ya kifungo,shughuli zake kubwa anatuhumiwa kuwachomoa abiria kitu kidogo katika kituo cha Babati mjini

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...