Tuesday, November 28, 2023
HERSI AMGUSA IBRAHIM BACCA
"Tumekuwa na kawaida ya kuwapa Wachezaji wetu siku maalumu. Tulikuwa na Maxi Day, Aziz Ki Day kwenye michezo yetu ya Kimataifa tukiwa Nyumbani kwa nia ya kuongeza dhamani na kuwatangaza Wachezaji wetu kutokana na mchango wao kwa Klabu yetu.
Leo tunatangaza rasmi mechi ijayo dhidi ya Al Ahly SC itakuwa Siku ya Ibrahim Bacca.
Tokea amejiunga na Klabu yetu kiwango chake kimeimarika kwa kiasi kikubwa na sasa ni Mchezaji muhimu wa Young Africans na timu yetu ya Taifa, Taifa Stars" Hersi Said
SIMBA NA YANGA ZASHINDWA KUTOA WACHEZJI BORA WA KIKOSI CHA WIKI CAFCL AFRIKA,AL AHLY YATAMBA
TIMU Tisa zinazoshiriki ligi ya Vilabu Bingwa Barani Afrika kati ya 16 zimefanikiwa kupata kuwa na wachezaji bora wa wikia kikosi cha wiki wanaound,huku Al Ahly ikiongoza kwa kutoa wachezaji watatu,vilabu viwili vya Tanzania Simba na Yanga vimeshindwa kufurukuta
Subscribe to:
Comments (Atom)
FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE
Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...
-
MAKAMU wa Rais Dr Mohamedi Ghalib Bilal leo majira ya saa ya saa 7 mchana anatarajia kufungua chuo cha ufundi stadi mjini Babati mkoani M...

