Monday, November 20, 2023

YANGA KABLA YA KUEPA KUKUTANA NA CRBELOUZIDAD INA JAMBO LAO

🟡Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Yanga itasafiri Jumatatu hii November 20, 2023 kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi klabu bingwa Afrika. 🟡Pia Yanga siku ya Jumatatu hii watazindua Jezi za michuano ya klabu bingwa Afrika, ambapo watazindua jezi mapema na Usiku wataanza safari ya kuelekea Algeria. Inatajwa maudhui ya goli tano alizopasuka Simba dhidi ya Yanga zitawekwa kwenye Jezi hiyo, NIMETHIBITISHA.

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...