Saturday, October 21, 2023
SIMBA YAIFUATA AL AHLY KIBABE BAADA YA KUTOA SARE SAA 24 ZILIZOPITA
The Simba SC squad, has started a journey this evening towards Egypt for the Rematch of the next major competition of the African Football League against Al Ahly which will be played on Tuesday.
Simba is the only team in the East African region first and bigger according to its history than any other team despite the fact that still some fans of the Young Africans team insist that they want to be seen as the ones with more history than the Simba team in terms of Young Africans participate in the finals of the Confederation Cup under CAF, while Simba Club has reached the quarter-finals of the African CAF league four times and the federal league three times
Agg: 2-2.
Kikosi cha Simba SC, Kimeanza safari Jioni hii Kuelekea Misri kwaajili ya Mchezo wa Marudiano wa mashindano makubwa mapaya ya African Football League dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Jumanne.
Simba ndio timu pekee katika Ukanda wa afrika ya Mashariki ya kwanza na kubwa kulingana na historia yake kuliko timu nyingine yeyote licha kwamba bado baadhi ya mashabiki wa timu ya Young Africans wanalazimisha kutaka kuonekana kuwa wao ndio wenye historia zaidi kuliko timu ya Simba kwa kigezo cha Young Africans kushiriki fainali za Kombe ya Shirikisho chini ya CAF Huku Klabu ya Simba ikiwaimefika Robo fainali ya ligi ya CAF ya afrika mara Nne na ligi ya shirikisho mara tatu
Agg: 2-2.
MAMELODI SUNDOWNS YAIDONOA PETRO ATLENTICO DE LUANDA UGENINI LIGI KUBWA YA AFRIKA
MAMELODI Ikiwa ni miongoni mwa timu vigogo vya Afrika imeianza vyema safari ya mashindano ya ligi mpua ya AFL kwa kuibanjua Petro Atlentico de Luanda ya Angola Ugenini wafugaji wa magoli hawa hapa
FT: Petro de Luanda 0- 2 Mamelodi Sundown
⚽ Marcelo Alliende 68
⚽ Thapelo Maseko 81
MAMELODI SUNDOWNS of South Africa If they are one of the big teams in Africa, they have started the journey of the AFL league by defeating Petro Atlentico de Luanda of Angola.
FT: Petro de Luanda 0- 2 Mamelodi Sundown
⚽ Marcelo Allende 68
⚽ Thapelo Maseko 81
MAMELODI, being one of the big teams in Africa, has started the AFL league competition well by defeating Petro Atlentico de Luanda of Angola. Abroad, the breeders of these goals here
FT: Petro de Luanda 0- 2 Mamelodi Sundown
⚽ Marcelo Allende 68
⚽ Thapelo Maseko 81
WENGER AND IFANTINO CONGRATULATE THE PLAYERS OF SIMBA SPORTS CLUB IN A TOGETHER PHOTO
Viongozi na wachezaji wa Simba sports club wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mchezo wa ufunguzi wa ligi mpya ya AFL dhidi ya Al Ahly ya Misri
Motsepe: AFL has come to increase the economy of the club
The president of the Confederation of African Football (CAF) Patrick Motsepe has said that the aim of the African Football League (AFL) championship is to help African clubs economically.
Motsepe has said that the teams participating in the championship are given a large amount of money and those who do better get bigger to help them do bigger things.
Motsepe added that the AFL will not kill the African Champions League and the Confederations Cup as some think, instead it has started to increase the economic power of the clubs.
"One of the goals of the AFL is to help them financially because we pay a large amount, our plans are to make African clubs modern."
"A large number of players from Africa want to play football in Europe because it is good and we want Africa to reach that stage," said Motsepe.
Motsepe has confirmed that next year the African Football Championship will feature 24 teams instead of the eight that will participate this season.
Motsepe: AFL imekuja kuongeza uchumi wa klabu
Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) Patrick Motsepe amesema lengo la michuano ya African Football League (AFL) ni kuzisaidia klabu za Afrika kiuchumi.
Motsepe amesema timu zinazoshiriki michuano hiyo zinapatiwa kiasi kikubwa cha pesa na zile zinazofanya vizuri zaidi inakuwa kubwa zinaweza kuisaidia kufanya vitu vikubwa zaidi.
Motsepe ameongeza kuwa AFL haitaiua michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kama wengi wanavyodhani badala yake imeanzisha ili kuziongezea klabu uwezo wa kiuchumi.
“Moja ya malengo ya AFL ni kuzisaidia klabu kiuchumi sababu tunalipa kiasi kikubwa, mipango yetu ni kuzifanya klabu za Afrika zijiendeshe kisasa.”
“Idadi kubwa ya wachezaji kutoka Afrika wanatamani kucheza soka barani Ulaya sababu ya malipo mazuri nasi tunataka Afrika tufike kwenye hatua hiyo,” amesema Motsepe.
Motsepe amethibitisha mwakani michuano ya African Football itashirikisha timu 24 badala ya nane ambazo zitashiriki msimu huu.
Subscribe to:
Comments (Atom)
FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE
Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...
-
MAKAMU wa Rais Dr Mohamedi Ghalib Bilal leo majira ya saa ya saa 7 mchana anatarajia kufungua chuo cha ufundi stadi mjini Babati mkoani M...









