Tuesday, November 14, 2023

MALARIA NCHINI HAITMALIZIKA IKIWA MBU HAWA HAWATAANGAMIZWA

Takwimu zinaonyesha kuwa maambukizi ya ugonjwa wa malaria nchini bado ni changamoto licha ya kuendelea kupungua kutoka asilimia 14.7 mwaka 2015 hadi sasa kufikia asilimia 8.1 huku mikoa mitano ikiongoza kanda ya ziwa na Mtwara ambayo maambukizi yapo juu ya asilimia 8 Je, nini kifanyike ili ugonjwa wa malaria utokomee kabisa nchini? Tumia lugha ya staha kwenye kutoa maoni yako.

CEZAR LOBI MANZOKI MNA TAARIFA NAE???

🤷. Timu ya Dalian alivyokuwa anaichezea imeshuka daraja na ameomba kurudi nyumbani 👀. Kwa taarifa yako huyu ndio alikuwa MVP wa Dalian na mwamba anatamani sana kuichezea Simba , tusubiri dirisha dogo tu tutamuona Msimbazi na hawa Utopolo mchezaji wao aliyepo Simba jiandaeni tunawapa tena bure ( sitamtaja ).

MAKONDA BWANA ANA MAMBO

SIMBA SPORTS CLUB YAJIVUNIA KUWA NA CHANNEL AFRIKA MASHARIKI HAKUNA

Simba WhatsApp Channel sasa ipo tayari kukusogezea taarifa muhimu kuhusu timu yetu. Simba WhatsApp Channel. "Simba imekua klabu ya kwanza kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kuwa na chaneli maalum ya WhatsApp ambayo itawapa habari mashabiki na wabia wake. Ikiwa inaingoza kwenye mitandao ya jamii, hii ni hatua kubwa kwani zaidi ya watu 2.7 Bilioni wanataumia WhatsApp hivyo Simba itakuwa karibu zaidi ya mashabiki wake na pia kuwa chanzo kizuri cha kuongeza thamani kwa wadhamini wake na wabia wengine.” alisema Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula. Link ya kujiunga inapatikana kwenye bio. #WenyeNchi #NguvuMoja See less

UCHAWI WA YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB ULIWAZIDI S S C NA KUSHINDA 5-1THE MAGIC OF YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB OVERCAME SIMBA SPORTS CLUB AND WON 5-1

UCHAMBUZI WA KISHIRIKINA KUFUNGWA KWA SIMBA. Na Yericko Nyerere Hadi Siku 6 kabla mechi Simba ilikuwa imeushika mchezo vizuri nje ya Uwanja. Kuanzia Kaskazini, Kusini, Mashariki na Magharibi. Makafara makubwa yalikuwa yamefanyika ipasavyo, na Tulikuwa tumeulinda Uwanja mwanzo mwisho. Hadi inafika siku moja kabla ya mchezo @simbasctanzania ilikuwa inaongoza 2-0 kwenye ungo wa Mizimu. Ushindi huu wa Simba wa bao 2 siku moja kabla ya game ulikuja baada ya Kamati za Simba kunasa na kuharibu vikosi vya Wachawi wa Yanga vilivyokuwa vimeenda Ngende, Sumbawanga, Kigoma na Zanzibar. Kukamatwa kwa kamati hizo kuliihakikishia Simba Ushindi, izingatiwe kwamba kwa Wiki nzima Uwanja wa Mkapa ulikuwa umehamishwa na huku pale Taifa pakilindwa kwa nguvu kubwa. Makafala makubwa yalipigwa njia zote atakazopita Yanga kuanzia akitokea Avic Town hadi kufika Uwanja wa Taifa. Ilipofika saa moja kabla ya mchezo kuanza, ungo ulisoma matokeo 2-1, hali hii ilifanya tuanze uchambuzi kujua yanga wamepataje bao hilo moja ilihali ilikuwa 2 bila. Na hata mpira ulipoanza Yanga wakapata bao, na kisha Simba kusawazisha, Ungo uliendelea kuonyesha matokeo yatakuwa 2-1. Kufumba na kufumbua baada ya mapumziko tu, Hali ilibadilika. Uchanbuzi wa Kishirikina umekuja kubaini Walituzidi ujanja, Kwanza baada ya kuzikamata zile kamati za uchawi zilizotumwa Ngende, Sumbawanga na Zanzibar, Wenzetu walibadili mbinu haraka wakaenda Mwandoya kwa Mwana Kingi, walibadili mbinu siku moja kabla ya mchezo, muda wa kwenda uwanjani wakakwepa njia zote tulizotega kuanzia Avic Town, wakati wa kutoka kambini kuja uwanjani walipita Mwasonga, Kibada, Kongowe na kutokea Mbagala (kimizimu japo wengi waliona timubimepita Darajani Kigamboni) tofauti na ilivyozoeleka. Vita vilikuwa vikubwa Uwanjani, Mwanakingi alifanikiwa kuua njia zote za Kamati ya Simba na ilipofika mapumziko alikuwa amefaulu kupora uwanja na kugeuza kibra na kutuingiza kwenye mfumo. Na hivyo ni wazi pekee Wachawi wa Simba tulizidiwa, Yanga walifanikiwa
PARTICULAR ANALYSIS OF THE CLOSING OF SIMBA SPORTS CLUB. By Yericko Nyerere Until 6 days before the match Simba had managed the game well outside the Stadium. From North, South, East and West. Great sacrifices had been made accordingly, and We had protected the Stadium from beginning to end. Until it arrives one day before the game @simbasctanzania was leading 2-0 in the basket of Spirits. This Simba victory of 2 goals a day before the game came after the Simba Committees captured and destroyed the Yanga Wizards forces that had gone to Ngende, Sumbawanga, Kigoma and Zanzibar. The arrest of those committees assured Simba the victory, it should be noted that for the whole week the Mkapa Stadium was evacuated and while there the Nation was protected with great strength. Great plans were made all the way he will pass through Yanga from Avic Town to the National Stadium. When it came an hour before the start of the game, the sieve read the result 2-1, this situation made us start the analysis to find out how they got that one goal when it was 2 without. And even when the ball started, Yanga scored a goal, and then Simba equalized, Ungo continued to show that the result would be 2-1. In the blink of an eye just after the break, the situation changed. Superstition analysis has come to find out that they outsmarted us. First, after arresting the witchcraft committees sent to Ngende, Sumbawanga and Zanzibar, our comrades quickly changed their tactics and went to Mwandoya for Mwana Kingi. Avic Town, when coming from the camp to the field, they passed Mwasonga, Kibada, Kongowe and appeared in Mbagala (though many saw the team passing Darajani Kigamboni) unlike usual. The battle was big in the Stadium, Mwanakingi managed to kill all the ways of the Lions Committee and when it came to the break, he had managed to loot the stadium and turn the tide and get us into the system. And so it is clear that only Simba Wizards were outnumbered, Yanga were successful ​

KUMEKUCHA UNYAMANI TUNA JAMBO LETU WASEMA

Tunaanza sisi, wengine watafuata. Kaa tayari kwa tukio hili kubwa. Tutakuwa LIVE kupitia Simba App, YouTube - Simba SC Tanzania na Azam Sports. #WenyeNchi #NguvuMoja

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...