Wednesday, October 25, 2023
KOCHA GAMONDI ACHUKIZWA NA TABIA ZA METACHA AMUENGUA
Kipa Namba Mbili wa Yanga, Metacha Mnata ameshakitibua tena pale Yanga na sasa amewekwa kando na kikosi hicho kwa madai ya utovu wa nidhamu.
.
Inaelezwa kipa huyo ameingia kwenye utata wa Utovu wa nidhamu na Kocha Gamondi baada ya kushindwa kurejea kambini kwa wakati.
.
Taarifa kutoka ndani ya Yanga zinaeleza kwamba Metacha hakufanya mawasiliano yoyote akiwa nje ya kikosi hicho. Mbali na Metacha inaelezwa pia kiungo Jonas Mkude, naye mapema alifanya kosa kama hilo ingawa aliwahi na kujisalimisha na kupewa adhabu za ndani na baadaye kusamehewa.
Ingawa chanzo hicho cha Uhakika hakikueleza ni Metacha amewekwa pembeni kwa muda gani
Hii ni Hot water blogspot.com
BAADHI YA MASHABIKI WA YANGA WAMTAKA GAMONDI KUMUIGA ROBERTINOH ILI KUONDOAFEDHEHA KWA AL AHYL KWENYE MAKUNDI
USHIRIKI wa Timu ya soka ya Simba sports club ya Tanzania katika mashindano ya ligi kubwa mpya uliozishirikisha timu bora Nane Barani Afrikadhidi ya Al Ahly ya Misri kumetoa funzo kwa kocha wa timu ya klabu ya Young Africans Muargentina Miguel Gamondi kujifunza mkakati wa kuikabili dhidi ya timu ya Al Ahly iliyocheza dhidi ya Simba iliyoshirki mashindano hayo ya AFL kwa ajili ya kupata ushindi katika ligi ya vilabu bingwa afrika inayotarajiwa kuanza Nov 24 2023.
Gamondi pia alikririwa akieleza kuwa atakuwa makini katika mchezo wa awali kuifuatilia kufahamu mfumo na mbinu na aina ya wachezaji kwa ajili ya maandalizi na Al Ahly aidha pia kumfuatilia kocha Robertinoh mbinu na mfumo waaliyoitumia kwa ajili ya maangamizi.,
”Ni kweli endapo Gamondi hatamuiga Robertinoh basi tutakufa mbele yao lakini anapaswa kumtafuta Robertinoh ili amsaidie yanga kama huu ulio sahihi na Simba wamefuta Uteja tofauti na matarajio yetu tumebaki sisi,,,,,,,,,,,aliongea hamisi bakari shabiki wa yanga
Hamisi anasisitiza kumtaka Gamondi kutumia mfumo wa Robertinoh huku akitofautisha mashindano ya CL yanayohitaji pointi nay ale ya APL yanayozingatia idadi kubwa ya magoli Huku akisema Simba imefungua darasa ambalo Yanga wanatakiwa kuiga
AHMED ALLY AWACHOKOA PUANI KWA KIDOLE CHA SHAHADA WALIOKOSA SIFA YA KUSHIRIKI AFL
Hatuwezi kuacha kujivunia perfomance na progress ya timu yetu
Tumeonesha kwanini FIFA, AFL na CAF walituamini kutuchagua kushiriki mashindano haya
Mechi yetu itasalia kuwa ndo mechi bora ya michuano hiii Tumeipa heshima AFL
Sisi ndo timu pekee ambayo tumeondolewa kwenye mashindano bila kufungwa
Upo wakati mwingine wa kutimiza malengo yetu na hauko mbali
Muhimu ni kuendeleza mipango
Wana Lunyasi tutembeee kifua mbele timu tunayo, wachezaji tunao na mipango tunayo ni muda tuu utaamua!!!
Najivunia hii timu
AL AHLY YASHINDWA KUMFUNGA SIMBA CAIRO YAINGIA NUSU FAINALI AFL KWA KANUNI
KLABU ya Al Ahly ya Misri imefanikiwa kuvuka kizingiti cha kuingia Nusu fainali ya mashindano makubwa ya African Football League yanayoshirikisha Vilabu Bora Vinane Barani Afrika vya Simba spotrs Club ya Tanzania kutoka Kanda ya Mashariki ya Afrika,Mamelodi Sundowns ya Afrika ya Kusini na Petro Atlentico de Luanfa ya Angola zote hizo zikitokea uknda wa Kusini mwa Jangwa la Sahara,timu nyingine ni Enyimba ya Nigeria kutoka Ukanda wa Magharibi ya Afrika,Touit Puissant Mazembe afrika ya Kati,Eperance ya Tunisia,Wydady ya Morrocco,Al ahly zote za Kaskazini ya afrika.
Timu zote hizo zimekuwa vinara wa kuanzishwa kwa mashindano hayo makubwa na yenye kipato kikubwa barani afrika kwa kuangalia mwenendo wa ushiriki wao hasa kwenye kufikia makundi ya ligi ya klabu bingwa Afrika,ubora na viwango vya pointi katika ushiriki.
Kwa mantiki hiyo basi,katika kundi la kwanza lililoshirikisha kati ya Simba na Al Ahly kulingana na timu hizo kutoka sare ya magoli 2-2 jijini Dar na kurudiana jijini Cairo na kulazimika kufungana sare ya 1-1 kulingana na kanuni Al ahly itakutana na Mamelodi Sundowns iliyoifunga Atlentico de Luanda 2-0 katika mchezo wa kwanza uliochezwa nchini Angola na mchezo wa maudiano uliochezwa nchini Afrika ya Kusini timu hizo zilitoka sare ya 0-0.
Klabu ya Simba sasa inarudi jijini Dar kuendelea na mashidano ya ligi Kuu ya NBC kabla ya kuanza kushiriki ligi ya vilabu bingwa barani afrika kwa kucheza na ASEC Mimosas ya Ivory Coast iliyopangwa kwenye kundi B lenye timu za Wydad,Jwaneng Galax,huku Al Ahly ikiwa kundi D lenye kundi la CRBeloizdad ya Algeria,Medeama ya Ghana na Young Africans ya Tanzania.
Ligi hiyo ya vilabu bingwa inatarajia kuanza Novemba 24 mwaka huu
Al Ahly CLUB of Egypt has successfully crossed the threshold to enter the semi-finals of the major African Football League competition involving the eight best clubs in Africa, Simba Sports Club of Tanzania from the East African Region, Mamelodi Sundowns of South Africa and Petro Atlantico de Luanfa. of Angola, all of which come from the region south of the Sahara Desert, the other team is Enyimba from Nigeria from West Africa, Tout Puissant Mazembe from Central Africa, Eperance from Tunisia, Wydady from Morocco, Al ahly all from North Africa.
All those teams have been the flagships of the establishment of the big and high-income competition in Africa by looking at the trend of their participation, especially in reaching the league groups of the African champion club, the quality and the level of points in participation.
With that logic then, in the first group that involved Simba and Al Ahly according to the teams from a 2-2 goal draw in Dar and a draw in Cairo and having to draw 1-1 according to the rules, Al Ahly will meet Mamelodi Sundowns which beat Atlantico de Luanda 2-0 in the first game played in Angola and the second game played in South Africa the teams drew 0-0.
Simba Club is now returning to Dar to continue with the NBC Premier League before starting to participate in the African Champions League by playing with ASEC Mimosas of the Ivory Coast, arranged in Group B with the teams of Wydad, Jwaneng Galax, while Al Ahly is the group D with a group of CRBeloizdad of Algeria, Medeama of Ghana and Young Africans of Tanzania.
The league of champion clubs is expected to start on November 24 this year
Subscribe to:
Comments (Atom)
FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE
Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...
-
MAKAMU wa Rais Dr Mohamedi Ghalib Bilal leo majira ya saa ya saa 7 mchana anatarajia kufungua chuo cha ufundi stadi mjini Babati mkoani M...



