Monday, November 13, 2023
DONALD TRUMP'S SISTER FOUND DEAD IN HER APARTMENT-DADA YAKE TRUMP AFARIKI GHAFLA NYUMBANI KWAKE
Maryanne Trump Barry, dadake Rais wa zamani Donald Trump,amefariki Dunia ghafla siku ya Nov 13
Chanzo cha kifo kinachunguzwa. Kulingana na ripoti, mwili wa Maryanne Trump Barry(86) ulikutwa ndani ya nyumba yake ya Fifth Avenue majira ya saa nne asubuhi katika chumba chake cha kulala cha Upper East Side baada ya wafanyakazi wa dharura kutaarifiwa kuwa katika nyumba hiyo kulikuwa na mtu anaesumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa moyo.
Chanzo cha kifo bado kinachunguzwa, ingawa hakukuwa na dalili za kiwewe ka familia ya Trump.
Msemaji wa Rais wa zamani Trump alikataa kutoa maoni yake.
Maryanne Trump Barry alikuwa wakili wa Marekani na jaji wa shirikisho la Marekani.
Ndugu watatu kati ya wanne wa Donald Trump sasa wameaga dunia. Fred Trump Jr., ambaye alikufa kwa mshtuko wa moyo akiwa na umri wa miaka 42 mnamo Septemba 1981, akifuatiwa na Robert Trump, ambaye alikuwa kaka yake mdogo, alikufa mnamo Agosti 2020 akiwa na umri wa miaka 71.
Maryanne Trump Barry, the sister of former President Donald Trump, was found dead in her apartment around 4 a.m. on Monday.
The cause of death is under investigation.
According to reports, 86-year-old Maryanne Trump Barry was found inside her Fifth Avenue apartment at around 4 a.m.
The sister of former President Donald Trump was discovered dead in the bedroom of her Upper East Side apartment after emergency crews responded to a call of a person in cardiac arrest. The cause of death is still under investigation, though there were no signs of trauma.
A spokesman for former President Trump declined to comment.
Maryanne Trump Barry was an American attorney and a United States federal judge. Three of Donald Trump's four siblings have now passed away. Fred Trump Jr., who died of a heart attack at 42 years old in September 1981, followed by Robert Trump, who was his youngest brother, died in August 2020 at 71 years old.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE
Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...
-
TAARIFA KWA UMMA Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigiz...
-
🟡Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Yanga itasafiri Jumatatu hii November 20, 2023 kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza...

No comments:
Post a Comment