Monday, November 13, 2023
KUMBE KLABU YA SIMBA NDIO BORA KULIKO NYINGINE AFRIKA YA MASHARKI??? WENGNE WATAKIWA KUACHA KUJIPA UBORA
Simba imepata heshima kubwa kwa Mwenyekiti wa Bodi, Salim Muhene kuwa sehemu ya wageni maalumu (VVIP) katika eneo ambalo walialikwa viongozi wa vilabu shiriki pekee vya African Football League katika mchezo wa fainali ya michuano hiyo kati ya Mamelodi Sundowns na Wydad Athletic Club mjini Pretoria, Afrika Kusini. Viongozi wa timu ambazo hazishiriki AFL walikaa sehemu ya mashabiki wa kawaida. #WenyeNchi #NguvuMoja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE
Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...
-
TAARIFA KWA UMMA Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigiz...
-
🟡Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Yanga itasafiri Jumatatu hii November 20, 2023 kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza...

No comments:
Post a Comment