Wednesday, October 25, 2023
KOCHA GAMONDI ACHUKIZWA NA TABIA ZA METACHA AMUENGUA
Kipa Namba Mbili wa Yanga, Metacha Mnata ameshakitibua tena pale Yanga na sasa amewekwa kando na kikosi hicho kwa madai ya utovu wa nidhamu.
.
Inaelezwa kipa huyo ameingia kwenye utata wa Utovu wa nidhamu na Kocha Gamondi baada ya kushindwa kurejea kambini kwa wakati.
.
Taarifa kutoka ndani ya Yanga zinaeleza kwamba Metacha hakufanya mawasiliano yoyote akiwa nje ya kikosi hicho. Mbali na Metacha inaelezwa pia kiungo Jonas Mkude, naye mapema alifanya kosa kama hilo ingawa aliwahi na kujisalimisha na kupewa adhabu za ndani na baadaye kusamehewa.
Ingawa chanzo hicho cha Uhakika hakikueleza ni Metacha amewekwa pembeni kwa muda gani
Hii ni Hot water blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE
Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...
-
TAARIFA KWA UMMA Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigiz...
-
🟡Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Yanga itasafiri Jumatatu hii November 20, 2023 kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza...

No comments:
Post a Comment