Wednesday, October 25, 2023

AHMED ALLY AWACHOKOA PUANI KWA KIDOLE CHA SHAHADA WALIOKOSA SIFA YA KUSHIRIKI AFL

Hatuwezi kuacha kujivunia perfomance na progress ya timu yetu Tumeonesha kwanini FIFA, AFL na CAF walituamini kutuchagua kushiriki mashindano haya Mechi yetu itasalia kuwa ndo mechi bora ya michuano hiii Tumeipa heshima AFL Sisi ndo timu pekee ambayo tumeondolewa kwenye mashindano bila kufungwa Upo wakati mwingine wa kutimiza malengo yetu na hauko mbali Muhimu ni kuendeleza mipango Wana Lunyasi tutembeee kifua mbele timu tunayo, wachezaji tunao na mipango tunayo ni muda tuu utaamua!!! Najivunia hii timu

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...