Wednesday, October 25, 2023

AL AHLY YASHINDWA KUMFUNGA SIMBA CAIRO YAINGIA NUSU FAINALI AFL KWA KANUNI

KLABU ya Al Ahly ya Misri imefanikiwa kuvuka kizingiti cha kuingia Nusu fainali ya mashindano makubwa ya African Football League yanayoshirikisha Vilabu Bora Vinane Barani Afrika vya Simba spotrs Club ya Tanzania kutoka Kanda ya Mashariki ya Afrika,Mamelodi Sundowns ya Afrika ya Kusini na Petro Atlentico de Luanfa ya Angola zote hizo zikitokea uknda wa Kusini mwa Jangwa la Sahara,timu nyingine ni Enyimba ya Nigeria kutoka Ukanda wa Magharibi ya Afrika,Touit Puissant Mazembe afrika ya Kati,Eperance ya Tunisia,Wydady ya Morrocco,Al ahly zote za Kaskazini ya afrika. Timu zote hizo zimekuwa vinara wa kuanzishwa kwa mashindano hayo makubwa na yenye kipato kikubwa barani afrika kwa kuangalia mwenendo wa ushiriki wao hasa kwenye kufikia makundi ya ligi ya klabu bingwa Afrika,ubora na viwango vya pointi katika ushiriki. Kwa mantiki hiyo basi,katika kundi la kwanza lililoshirikisha kati ya Simba na Al Ahly kulingana na timu hizo kutoka sare ya magoli 2-2 jijini Dar na kurudiana jijini Cairo na kulazimika kufungana sare ya 1-1 kulingana na kanuni Al ahly itakutana na Mamelodi Sundowns iliyoifunga Atlentico de Luanda 2-0 katika mchezo wa kwanza uliochezwa nchini Angola na mchezo wa maudiano uliochezwa nchini Afrika ya Kusini timu hizo zilitoka sare ya 0-0. Klabu ya Simba sasa inarudi jijini Dar kuendelea na mashidano ya ligi Kuu ya NBC kabla ya kuanza kushiriki ligi ya vilabu bingwa barani afrika kwa kucheza na ASEC Mimosas ya Ivory Coast iliyopangwa kwenye kundi B lenye timu za Wydad,Jwaneng Galax,huku Al Ahly ikiwa kundi D lenye kundi la CRBeloizdad ya Algeria,Medeama ya Ghana na Young Africans ya Tanzania. Ligi hiyo ya vilabu bingwa inatarajia kuanza Novemba 24 mwaka huu
Al Ahly CLUB of Egypt has successfully crossed the threshold to enter the semi-finals of the major African Football League competition involving the eight best clubs in Africa, Simba Sports Club of Tanzania from the East African Region, Mamelodi Sundowns of South Africa and Petro Atlantico de Luanfa. of Angola, all of which come from the region south of the Sahara Desert, the other team is Enyimba from Nigeria from West Africa, Tout Puissant Mazembe from Central Africa, Eperance from Tunisia, Wydady from Morocco, Al ahly all from North Africa. All those teams have been the flagships of the establishment of the big and high-income competition in Africa by looking at the trend of their participation, especially in reaching the league groups of the African champion club, the quality and the level of points in participation. With that logic then, in the first group that involved Simba and Al Ahly according to the teams from a 2-2 goal draw in Dar and a draw in Cairo and having to draw 1-1 according to the rules, Al Ahly will meet Mamelodi Sundowns which beat Atlantico de Luanda 2-0 in the first game played in Angola and the second game played in South Africa the teams drew 0-0. Simba Club is now returning to Dar to continue with the NBC Premier League before starting to participate in the African Champions League by playing with ASEC Mimosas of the Ivory Coast, arranged in Group B with the teams of Wydad, Jwaneng Galax, while Al Ahly is the group D with a group of CRBeloizdad of Algeria, Medeama of Ghana and Young Africans of Tanzania. The league of champion clubs is expected to start on November 24 this year

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...