Thursday, November 30, 2023

RAIS WA TFF: TUNATAKA TUUPUMZISHE UWANJA WA BENJAMINI MKAPA SASA

“Miundombinu ni jambo ambalo lilikuwa na changamoto sana ,sasa hivi viwanja mmeona vinapendeza lakini uwanja wa Taifa ni uwanja wa serikali. Sisi tunachoangalia ni kuhakikisha uwanja hatuuzidishii matumizi “ “Ikiwezekana ligi zetu ichezwe mechi ya Simba na Yanga tu ,kuhusu ligi mechi zinazoihusu Simba au Yanga zitachezwa sehemu nyingine ,ila wanapocheza wao wenyewe sawa na hata timu ya Taifa tunataka tuangalie sehemu nyingine ya kucheza ili uwanja upumue “ Rais wa shirikisho la soka Tanzania (TFF ) Wallace Karia akielezea mipango ya kuufanya uwanja wa Taifa (Benjamin Mkapa ) uweze kudumu kwa muda mrefu kwa ubora.

HERSI RAIS WA YANGA AUKWAA UENYEKITI WA ACA BARANI AFRIKA

Klabu ya Young Africans SC inampongeza Rais wake Eng. Hersi Ally Said kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Shirikisho la Vilabu Afrika (Africans Clubs Association).

NI KWELI NI MAJI NA MAFUTA??

MAJI NA MAFUTA HUJITENGA HUWEZI KUKUTA KLABU NYiNGINE ZAIDI YA hizi

Tuesday, November 28, 2023

HERSI AMGUSA IBRAHIM BACCA

"Tumekuwa na kawaida ya kuwapa Wachezaji wetu siku maalumu. Tulikuwa na Maxi Day, Aziz Ki Day kwenye michezo yetu ya Kimataifa tukiwa Nyumbani kwa nia ya kuongeza dhamani na kuwatangaza Wachezaji wetu kutokana na mchango wao kwa Klabu yetu. Leo tunatangaza rasmi mechi ijayo dhidi ya Al Ahly SC itakuwa Siku ya Ibrahim Bacca. Tokea amejiunga na Klabu yetu kiwango chake kimeimarika kwa kiasi kikubwa na sasa ni Mchezaji muhimu wa Young Africans na timu yetu ya Taifa, Taifa Stars" Hersi Said

SIMBA NA YANGA ZASHINDWA KUTOA WACHEZJI BORA WA KIKOSI CHA WIKI CAFCL AFRIKA,AL AHLY YATAMBA

TIMU Tisa zinazoshiriki ligi ya Vilabu Bingwa Barani Afrika kati ya 16 zimefanikiwa kupata kuwa na wachezaji bora wa wikia kikosi cha wiki wanaound,huku Al Ahly ikiongoza kwa kutoa wachezaji watatu,vilabu viwili vya Tanzania Simba na Yanga vimeshindwa kufurukuta

Sunday, November 26, 2023

HILI SIO DUKA BALI MCHEZO WA SOKA SIO UGOMVI

Hilo sio duka bali ni jezi ambazo mchezaji wa zamani wa Liverpool MARTIN SKERTAL alibadilishana Na wachezaji wenzake uwanjani kila mara baada ya Mchezo husika kutamatika.

KOCHA MPYA SIMBA HUYOOOO

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...