Tuesday, November 28, 2023

HERSI AMGUSA IBRAHIM BACCA

"Tumekuwa na kawaida ya kuwapa Wachezaji wetu siku maalumu. Tulikuwa na Maxi Day, Aziz Ki Day kwenye michezo yetu ya Kimataifa tukiwa Nyumbani kwa nia ya kuongeza dhamani na kuwatangaza Wachezaji wetu kutokana na mchango wao kwa Klabu yetu. Leo tunatangaza rasmi mechi ijayo dhidi ya Al Ahly SC itakuwa Siku ya Ibrahim Bacca. Tokea amejiunga na Klabu yetu kiwango chake kimeimarika kwa kiasi kikubwa na sasa ni Mchezaji muhimu wa Young Africans na timu yetu ya Taifa, Taifa Stars" Hersi Said

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...