Thursday, November 30, 2023

RAIS WA TFF: TUNATAKA TUUPUMZISHE UWANJA WA BENJAMINI MKAPA SASA

“Miundombinu ni jambo ambalo lilikuwa na changamoto sana ,sasa hivi viwanja mmeona vinapendeza lakini uwanja wa Taifa ni uwanja wa serikali. Sisi tunachoangalia ni kuhakikisha uwanja hatuuzidishii matumizi “ “Ikiwezekana ligi zetu ichezwe mechi ya Simba na Yanga tu ,kuhusu ligi mechi zinazoihusu Simba au Yanga zitachezwa sehemu nyingine ,ila wanapocheza wao wenyewe sawa na hata timu ya Taifa tunataka tuangalie sehemu nyingine ya kucheza ili uwanja upumue “ Rais wa shirikisho la soka Tanzania (TFF ) Wallace Karia akielezea mipango ya kuufanya uwanja wa Taifa (Benjamin Mkapa ) uweze kudumu kwa muda mrefu kwa ubora.

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...