Wednesday, November 22, 2023
TAIFA STARS YAGEUKA KICHWA CHA MWEHU KWA MKAPA
FT. Tanzania 0-2 Morocco
Majirani zetu Taifa Stars wameona vimulimuli pia leo. Poleni ndugu ndio hali ya soka hiyo
Kwingineko; Comoros beat Ghana 1-0, Togo held reigning African champions Senegal 0-0, Uganda beat Somalia 1-0 away, Niger beat 2012 Afcon champions Zambia 2-1 then Rwanda Amavubi beat South Africa's Banyana Banyana 2-0.
Kweli mpira hudunda 🙌
Hata hivyo wajuaji wa soka na sio mpira wameendelea kusema kilichowaua Stars ni kukosa mechi za majaribio,kwani TFF ilitakiwa kuwaeleza watanzania kwanini timu hiyo haina mechi za majaribio zaidi kwanini kila kunapopambazuka na machweo wachezaji huchaguliwa upya kujiunga na kikosi hicho cha Taifa je unategemea nini?
Monday, November 20, 2023
FIFA KUMWAGA MAHELA KWA WACHEZAJI MAJERUHI
🚨FIFA italazimika kuilipa Barcelona fidia ya euro 20,548 kwa kila siku ambayo Gavi atakuwa nje ya uwanja tangu alipoumia akiwa kwenye majukumu ya kimataifa. malipo yataanza siku 28 baada ya mchezaji huyo kupata jeraha na yanaweza kudumu kwa muda usiozidi mwaka mmoja.
Hii ni taratibu ya FIFA ikitokea Mchezaji anapata Majeraha akiwa anatimiza Majukumu katika timu yake ya Taifa basi Shirikisho la Mpira Ulimwenguni yaani FIFA litatoa fidia kwa Mchezaji huyo.
Source [@mundodeportivo]
YANGA KABLA YA KUEPA KUKUTANA NA CRBELOUZIDAD INA JAMBO LAO
🟡Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Yanga itasafiri Jumatatu hii November 20, 2023 kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi klabu bingwa Afrika.
🟡Pia Yanga siku ya Jumatatu hii watazindua Jezi za michuano ya klabu bingwa Afrika, ambapo watazindua jezi mapema na Usiku wataanza safari ya kuelekea Algeria.
Inatajwa maudhui ya goli tano alizopasuka Simba dhidi ya Yanga zitawekwa kwenye Jezi hiyo, NIMETHIBITISHA.
MPAMBANO WA KOMBE LA DUNIA JE WATANZANIA WATATOBOA?
Baada ya kupata ushindi mchezo uliopita, Taifa Stars kesho Jumanne watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakikipiga na Morocco kuwania tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia
Mechi hii itaruka mbashara kupitia#ZBC2 kuanzia saa 4:00 usiku.
#TaifaStars #WorldCup2026 #Morocco
Sunday, November 19, 2023
Subscribe to:
Comments (Atom)
FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE
Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...
-
TAARIFA KWA UMMA Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigiz...
-
🟡Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Yanga itasafiri Jumatatu hii November 20, 2023 kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza...






