Wednesday, November 22, 2023

TAIFA STARS YAGEUKA KICHWA CHA MWEHU KWA MKAPA

FT. Tanzania 0-2 Morocco Majirani zetu Taifa Stars wameona vimulimuli pia leo. Poleni ndugu ndio hali ya soka hiyo Kwingineko; Comoros beat Ghana 1-0, Togo held reigning African champions Senegal 0-0, Uganda beat Somalia 1-0 away, Niger beat 2012 Afcon champions Zambia 2-1 then Rwanda Amavubi beat South Africa's Banyana Banyana 2-0. Kweli mpira hudunda 🙌 Hata hivyo wajuaji wa soka na sio mpira wameendelea kusema kilichowaua Stars ni kukosa mechi za majaribio,kwani TFF ilitakiwa kuwaeleza watanzania kwanini timu hiyo haina mechi za majaribio zaidi kwanini kila kunapopambazuka na machweo wachezaji huchaguliwa upya kujiunga na kikosi hicho cha Taifa je unategemea nini?

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...