Monday, November 20, 2023

MPAMBANO WA KOMBE LA DUNIA JE WATANZANIA WATATOBOA?

Baada ya kupata ushindi mchezo uliopita, Taifa Stars kesho Jumanne watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakikipiga na Morocco kuwania tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia Mechi hii itaruka mbashara kupitia#ZBC2 kuanzia saa 4:00 usiku. #TaifaStars #WorldCup2026 #Morocco

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...