Friday, November 17, 2023
Thursday, November 16, 2023
DAR YOUNG YAPANIA KUVURUGA AS VITA
Kwa mujibu wa chanzo changu ni kuwa Klabu ya Yanga imefungua mazungumzo rasmi na Uongozi wa klabu ya AS Vita Club ili kununua mkataba wa Elie Mpanzu ambaye ni winga wa kulia.
- Winga Elie Mpanzu amebakiwa na mkataba wa mwaka mmoja katika Klabu ya AS Vita, na Mchezaji ameshawishika kujiunga na Klabu ya Yanga dirisha lijalo la uhamisho.
- Baada ya Uongozi wa Yanga kupokea ripoti ya mapendekezo ya usajili kutoka kwa Kocha mkuu Miguel Gamondi, Uongozi umeanza kuyafanyia kazi mahitaji ya mwalimu mapema.
- Klabu ya Yanga inapambana sana kukamilisha dili hilo kwa wakati.
Tuesday, November 14, 2023
MALARIA NCHINI HAITMALIZIKA IKIWA MBU HAWA HAWATAANGAMIZWA
Takwimu zinaonyesha kuwa maambukizi ya ugonjwa wa malaria nchini bado ni changamoto licha ya kuendelea kupungua kutoka asilimia 14.7 mwaka 2015 hadi sasa kufikia asilimia 8.1 huku mikoa mitano ikiongoza kanda ya ziwa na Mtwara ambayo maambukizi yapo juu ya asilimia 8
Je, nini kifanyike ili ugonjwa wa malaria utokomee kabisa nchini?
Tumia lugha ya staha kwenye kutoa maoni yako.
CEZAR LOBI MANZOKI MNA TAARIFA NAE???
🤷.
Timu ya Dalian alivyokuwa anaichezea imeshuka daraja na ameomba kurudi nyumbani 👀.
Kwa taarifa yako huyu ndio alikuwa MVP wa Dalian na mwamba anatamani sana kuichezea Simba , tusubiri dirisha dogo tu tutamuona Msimbazi na hawa Utopolo mchezaji wao aliyepo Simba jiandaeni tunawapa tena bure ( sitamtaja ).
SIMBA SPORTS CLUB YAJIVUNIA KUWA NA CHANNEL AFRIKA MASHARIKI HAKUNA
Simba WhatsApp Channel sasa ipo tayari kukusogezea taarifa muhimu kuhusu timu yetu.
Simba WhatsApp Channel. "Simba imekua klabu ya kwanza kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kuwa na chaneli maalum ya WhatsApp ambayo itawapa habari mashabiki na wabia wake. Ikiwa inaingoza kwenye mitandao ya jamii, hii ni hatua kubwa kwani zaidi ya watu 2.7 Bilioni wanataumia WhatsApp hivyo Simba itakuwa karibu zaidi ya mashabiki wake na pia kuwa chanzo kizuri cha kuongeza thamani kwa wadhamini wake na wabia wengine.” alisema Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula. Link ya kujiunga inapatikana kwenye bio. #WenyeNchi #NguvuMoja See less
Subscribe to:
Comments (Atom)
FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE
Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...
-
TAARIFA KWA UMMA Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigiz...
-
🟡Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Yanga itasafiri Jumatatu hii November 20, 2023 kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza...






