Tuesday, November 14, 2023
SIMBA SPORTS CLUB YAJIVUNIA KUWA NA CHANNEL AFRIKA MASHARIKI HAKUNA
Simba WhatsApp Channel sasa ipo tayari kukusogezea taarifa muhimu kuhusu timu yetu.
Simba WhatsApp Channel. "Simba imekua klabu ya kwanza kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kuwa na chaneli maalum ya WhatsApp ambayo itawapa habari mashabiki na wabia wake. Ikiwa inaingoza kwenye mitandao ya jamii, hii ni hatua kubwa kwani zaidi ya watu 2.7 Bilioni wanataumia WhatsApp hivyo Simba itakuwa karibu zaidi ya mashabiki wake na pia kuwa chanzo kizuri cha kuongeza thamani kwa wadhamini wake na wabia wengine.” alisema Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula. Link ya kujiunga inapatikana kwenye bio. #WenyeNchi #NguvuMoja See less
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE
Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...
-
TAARIFA KWA UMMA Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigiz...
-
🟡Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Yanga itasafiri Jumatatu hii November 20, 2023 kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza...

No comments:
Post a Comment