Sunday, November 12, 2023

WACHEZAJI WASTAAFU WA SOKA NIGERIA WATUNUKIWA phD WEWE VIPI MCHEZAJI WA BONGO??

Super Eagles former number one goalkeeper and ex-captain, Vincent Enyeama was on Saturday, November 11, 2023 awarded a honorary Doctorate Degree by the University of Uyo, the oldest federal university in Akwa Ibom State, Nigeria. Congratulations Dr. Enyeama Vincent

Saturday, November 11, 2023

Raphael Dwamena: Ghana striker dies after collapsing during game in Albania-mshambuliaji Dwamena wa Ghana hatunae tena-RIP

KF Egnatia's Ghanian forward, Raphael Dwamena has passed away after suffering heart attack in the 23th minute of the game against FK Partizani. The 28 year old had previous heart condition years ago but he refused to hang up his boots as he wanted to continue doing what he loved the most, playing football. He was without a doubt one of the best players in the Albanian Superliga and he was the league's top scorer with 9 goals this season. Rest in peace, Raphael πŸ˜“πŸ•Š
MSHAMBULIAJI wa timu ya Ghanian ya KF Egnatia, Raphael Dwamena amefariki dunia baada ya kupata mshtuko wa moyo katika dakika ya 23 ya mchezo dhidi ya FK Partizani. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alikuwa na ugonjwa wa moyo miaka iliyopita lakini alikataa kutundika daruga lake kwani alitaka kuendelea kufanya kile anachokipenda zaidi, kucheza soka. Bila shaka alikuwa mmoja wa wachezaji bora katika Superliga ya Albania na alikuwa mfungaji bora wa ligi akiwa na mabao 9 msimu huu. Pumzika kwa amani Raphael πŸ˜“πŸ•Š

HERSI AONWA SAUZI AKITAFUTA MSHAMBULIAJI KAIZER CHIEFS

Duru zinaarifu kua Raisi wa Klabu ya Young Africans eng. Hersi yupo Africa kusini kukamilisha dili la mchezaji Ranga chivaviro ambae ameshindwa kupenya kwenye kikosi cha kwanza cha Kaizer Chiefs wiki iliyopita Chivaviro aliwasilisha maombi ya kuomba kutolewa kwa mkopo au kuuzwa kwenye msimu wa dirisha Dogo.

USO KWA USO AMA ANA KWA ANA AMA FACE TO FACE

FAINALI UZEENI AFL KATI YA SUNDOWNS NA WYDAD

Kesho Jumapili, Mamelodi Sundowns watakuwa nyumbani wakiwakaribisha Wydad Casablanca Katika mechi ya kwanza ya fainali Wydad Casablanca wakiwa nyumbani walipata ushindi wa goli 2 - 1 Je, Mamelodi watapindua meza na kutwaa ubingwa wa AFL ama Wydad kulinda ushindi wao na kuwa mabibgwa wa kwanza wa mashindano haya?

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...