Saturday, November 11, 2023

Raphael Dwamena: Ghana striker dies after collapsing during game in Albania-mshambuliaji Dwamena wa Ghana hatunae tena-RIP

KF Egnatia's Ghanian forward, Raphael Dwamena has passed away after suffering heart attack in the 23th minute of the game against FK Partizani. The 28 year old had previous heart condition years ago but he refused to hang up his boots as he wanted to continue doing what he loved the most, playing football. He was without a doubt one of the best players in the Albanian Superliga and he was the league's top scorer with 9 goals this season. Rest in peace, Raphael πŸ˜“πŸ•Š
MSHAMBULIAJI wa timu ya Ghanian ya KF Egnatia, Raphael Dwamena amefariki dunia baada ya kupata mshtuko wa moyo katika dakika ya 23 ya mchezo dhidi ya FK Partizani. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alikuwa na ugonjwa wa moyo miaka iliyopita lakini alikataa kutundika daruga lake kwani alitaka kuendelea kufanya kile anachokipenda zaidi, kucheza soka. Bila shaka alikuwa mmoja wa wachezaji bora katika Superliga ya Albania na alikuwa mfungaji bora wa ligi akiwa na mabao 9 msimu huu. Pumzika kwa amani Raphael πŸ˜“πŸ•Š

HERSI AONWA SAUZI AKITAFUTA MSHAMBULIAJI KAIZER CHIEFS

Duru zinaarifu kua Raisi wa Klabu ya Young Africans eng. Hersi yupo Africa kusini kukamilisha dili la mchezaji Ranga chivaviro ambae ameshindwa kupenya kwenye kikosi cha kwanza cha Kaizer Chiefs wiki iliyopita Chivaviro aliwasilisha maombi ya kuomba kutolewa kwa mkopo au kuuzwa kwenye msimu wa dirisha Dogo.

USO KWA USO AMA ANA KWA ANA AMA FACE TO FACE

FAINALI UZEENI AFL KATI YA SUNDOWNS NA WYDAD

Kesho Jumapili, Mamelodi Sundowns watakuwa nyumbani wakiwakaribisha Wydad Casablanca Katika mechi ya kwanza ya fainali Wydad Casablanca wakiwa nyumbani walipata ushindi wa goli 2 - 1 Je, Mamelodi watapindua meza na kutwaa ubingwa wa AFL ama Wydad kulinda ushindi wao na kuwa mabibgwa wa kwanza wa mashindano haya?

MKIMBIZI KAMBI YA KIGOMA KUSAJILIWA BAYERN MUNICH?-REFUGEE STRIKE CAMP TO BE REGISTERED BAYERN MUNICH?

Bayern Club expects to complete the registration of a young football expert, Nestory Irankunda from Adelaide United Club, with a bet of £3m which is more than eight billion Tanzanian shillings and an agreement has already been made. Irankunda was born in the Refugee Camp located in Kasulu in Kigoma Region while his parents came from Burundi.
Klabu ya Bayern inatarajia kukamilisha usajili wa Kijana mtaalam wa mpra wa miguu,Nestory Irankunda akitokea Klabu ya Adelaide United okwa dau la £3m ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni nane za Kitanzania na tayari makubaliano yameshafanyika. Irankunda amezaliwa kwenye Kambi ya Wakimbizi iliyoko Kasulu Mkoani Kigoma huku wazazi wake wakiwa wametokea Burundi.

WANANCHIII NJOOONI JANGWANI TUNYWE SUPU -JE NI KAFARA?-YOUNG AFRICANS COME AND HAVE SOUP ON SUNDAY-SIMBA FANS INSIST ON SACRIFICE SOUP...

The spokesman of YOUNG AFRICANS SC, #AliKamwe, has asked the Yanga fans to, on Sunday morning, everyone bring their pancakes, their buns, along with their sweets to the desert because they are giving out free #Soup "On Sunday, every Yanga child should come with his sweets, pastries and pancakes, we give free soup.. and that day in the morning when the soup is cooked there will be a small charity walk, we will start in the desert and we will walk to Msimbazi Mataa then we will return.. and on the way we will be greeting everyone we meet on the way.. and when we return to the desert we will eat soup, but we have slaughtered 10 cows and one cow, we are feeding more than 600 people.. and if we decide to take them to the village, they would drink soup and on Sundays, come with snacks, all the bowls are there". .. he said he never lived The whole video is already in the Comment. ! How many chapatis will you carry on Sunday? some fans of simba sports club have said that young africans are a small team that invents things that are not productive for the society.. and all this is due to simba sports club they raised a bag to the top of Mt. Kilimanjaro for the launch of their jerseys for the new season of the league and followed by many fans in the world than drinking soup. Are they questioning whether the soup is a sacrifice? Drop a comment
Msemaji wa YOUNG AFRICANS SC, #AliKamwe, amewaomba mashabiki wa Yanga kuwa, Siku ya Jumapili Asubuhi kila mmoja abebe chapati zake, Maandazi yake, pamoja na vitumbua vyake aje navyo pale jangwani Kwani #Supu wanatoa free "Jumapili kila Mwana Yanga aje na vitumbua vyake, maandazi pamoja na chapati yake, supu tunatoa free.. na Siku hiyo asubuhi wakati supu inapikwa kutakuwa na matembezi kidogo ya hisani, tutaanza pale jangwani na Tutatembea mpaka Msimbazi mataa then tutarudi .. na tukiwa njiani tutakuwa tunawasalimia kila tutakaye kutana naye njiani.. na tukirudi jangwani tutakula supu mana tumechinja Ng'ombe 10 na ng'ombe mmoja tunawalisha watu zaidi ya 600.. na tukiamua tupeleke mkwakwani Kote wangekunywa Supu na Jumapili nyie njoeni na Vitafunywa mabakuli yote yapo". .. amesema ali kamwe video Nzima tayari ipo kwenye Comment. ! Vipi Jumapili utabeba Chapati Ngapi.. ? baadhi ya mashabiki wa simba sports club wamesema young africans ni timu ndogo wanaobuni vitu ambavyo havina tja kwa jamii..na yote hayo ni kutokana na Simba sports club walipandisha begi kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya uzinduzi wa jezi zao za msimu mpya wa ligi na kufuatiliwa na mashabiki weng ulimwenguni kuliko kunywa supu.wanahoji je supu hiyo ni kafara?Dondosha Comment

NEW WILD ANIMALS, INSECTS AND SNAKES DISCOVERED IN TANZANIA-WANYAMAPORI,WADUDU NA NYOKA WAPYA WAGUNDULIKA TANZANIA

RESEARCH DISCOVERS NEW SPECIES OF ANIMALS, SNAKES AND INSECTS IN THE COUNTRY: The Tanzania Wildlife Research Institute (TAWIRI) has said that the development of research that is currently being carried out in a large percentage by local scientists has resulted in the discovery of new species of animals, snakes and insects in the areas various here in the country, Among the discoveries according to TAWIRI are a butterfly that has been discovered in the Kihansi Valley, a snake that has been discovered in the Udzungwa Mountains Park, a monkey that has been found in Mila Rungwe and Livingston as well as insects that help in pollination. What do you think about these efforts of our researchers to continue to innovate for the benefit of the Nation and future generations?...
UTAFITI WABAINI AINA MPYA YA WANYAMA, NYOKA NA WADUDU NCHINI:Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) imesema Maendeleo ya tafiti ambazo kwa sasa zinafanywa kwa asilimia Kubwa na Wanasayansi wa ndani zimefanikisha kugunduliwa kwa aina mpya za Wanyama,Nyoka pamoja na Wadudu katika maeneo mbalimbali hapa Nchini, Miongoni mwa ugunduzi hizo kwa mujibu wa TAWIRI ni pamoja na Kipepeo ambaye amegunduliwa katika eneo la Bonde la Kihansi, nyoka aliyegunduliwa katika Hifadhi ya Milima Udzungwa,nyani kipunji ambaye amepatikana katika Mlima Rungwe na Livingston pamoja na wadudu wanaosaidia katika uchavushaji. Una maoni gani kuhusu juhudi hizi za watafiti wetu kuendelea kuvumbua kwa manufaa ya Taifa na vizazi vijavyo?

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...