Sunday, November 12, 2023
Saturday, November 11, 2023
Raphael Dwamena: Ghana striker dies after collapsing during game in Albania-mshambuliaji Dwamena wa Ghana hatunae tena-RIP
KF Egnatia's Ghanian forward, Raphael Dwamena has passed away after suffering heart attack in the 23th minute of the game against FK Partizani.
The 28 year old had previous heart condition years ago but he refused to hang up his boots as he wanted to continue doing what he loved the most, playing football. He was without a doubt one of the best players in the Albanian Superliga and he was the league's top scorer with 9 goals this season.
Rest in peace, Raphael ππ
MSHAMBULIAJI wa timu ya Ghanian ya KF Egnatia, Raphael Dwamena amefariki dunia baada ya kupata mshtuko wa moyo katika dakika ya 23 ya mchezo dhidi ya FK Partizani.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alikuwa na ugonjwa wa moyo miaka iliyopita lakini alikataa kutundika daruga lake kwani alitaka kuendelea kufanya kile anachokipenda zaidi, kucheza soka. Bila shaka alikuwa mmoja wa wachezaji bora katika Superliga ya Albania na alikuwa mfungaji bora wa ligi akiwa na mabao 9 msimu huu.
Pumzika kwa amani Raphael ππ
HERSI AONWA SAUZI AKITAFUTA MSHAMBULIAJI KAIZER CHIEFS
Duru zinaarifu kua Raisi wa Klabu ya Young Africans eng. Hersi yupo Africa kusini kukamilisha dili la mchezaji Ranga chivaviro ambae ameshindwa kupenya kwenye kikosi cha kwanza cha Kaizer Chiefs wiki iliyopita Chivaviro aliwasilisha maombi ya kuomba kutolewa kwa mkopo au kuuzwa kwenye msimu wa dirisha Dogo.
FAINALI UZEENI AFL KATI YA SUNDOWNS NA WYDAD
Kesho Jumapili, Mamelodi Sundowns watakuwa nyumbani wakiwakaribisha Wydad Casablanca
Katika mechi ya kwanza ya fainali Wydad Casablanca wakiwa nyumbani walipata ushindi wa goli 2 - 1
Je, Mamelodi watapindua meza na kutwaa ubingwa wa AFL ama Wydad kulinda ushindi wao na kuwa mabibgwa wa kwanza wa mashindano haya?
MKIMBIZI KAMBI YA KIGOMA KUSAJILIWA BAYERN MUNICH?-REFUGEE STRIKE CAMP TO BE REGISTERED BAYERN MUNICH?
Bayern Club expects to complete the registration of a young football expert, Nestory Irankunda from Adelaide United Club, with a bet of £3m which is more than eight billion Tanzanian shillings and an agreement has already been made.
Irankunda was born in the Refugee Camp located in Kasulu in Kigoma Region while his parents came from Burundi.
Klabu ya Bayern inatarajia kukamilisha usajili wa Kijana mtaalam wa mpra wa miguu,Nestory Irankunda akitokea Klabu ya Adelaide United okwa dau la £3m ambazo ni zaidi ya Shilingi Bilioni nane za Kitanzania na tayari makubaliano yameshafanyika.
Irankunda amezaliwa kwenye Kambi ya Wakimbizi iliyoko Kasulu Mkoani Kigoma huku wazazi wake wakiwa wametokea Burundi.
Subscribe to:
Comments (Atom)
FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE
Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...
-
TAARIFA KWA UMMA Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigiz...
-
π‘Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Yanga itasafiri Jumatatu hii November 20, 2023 kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza...






