Friday, November 10, 2023
SIMBA SPORTS CLUB YAKIRI KUSHINDWA KUIFUNGA NAMUNGO
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC uliopigwa Uwanja wa Uhuru umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja.
Tulianza mchezo kwa kasi huku tukiliandama lango la Namungo lakini hata hivyo mashambulizi yetu yaliishia kwenye mikono ya mlinda mlango, Jonathan Nahimana.
Relient Lusajo aliipatia Namungo bao la kwanza dakika ya 28 baada ya kumalizia pasi ya Jacob Masawe.
Jean Baleke alitupatia bao la kusawazisha dakika ya 75 baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Moses Phiri.
X1: Ayoub, Kapombe, Zimbwe Jr, Che Malone (Kennedy 80′), Henock, Ngoma (Miquissone 68′), Chama (Bocco 72′), Mzamiru, Baleke, Ntibazonkiza (Chilunda 58′), Onana (Phiri 45′)
Walioonyeshwa kadi:
X1: Nahimana, Kibailo, Asante, Mukombozi, Nyoni, Domayo (Kichuya 65′), Nyenye, Manyanya, Lusajo (Sabato 65′), Buswita (Blandja 73′), Masawe (Majimengi
Walioonyeshwa kadi:
Thursday, November 9, 2023
REST IN PEACE TO BONGINKOSI NTULI,MAY HIS SOUL REST IN PEACE!
“Ntuli was (very recently) diagnosed with an aggressive form of cancer, which metastasized and ultimately led to his death at the Midlands Medical Centre Private Hospital, in Pietermaritzburg this afternoon.
“May his beautiful soul rest in eternal peace. The club requests privacy and patience be granted his family and friends at this difficult time.”
Ntuli made 142 appearances for AmaZulu, including six this season. He also featured for Mamelodi Sundowns, Cape Umoya and Golden Arrows.
We, at iDiski Times, would like to express our condolences to Ntuli’s family and friends and everyone in the Usuthu football fraternity.“Ntuli was (very recently) diagnosed with an aggressive form of cancer, which metastasized and ultimately led to his death at the Midlands Medical Centre Private Hospital, in Pietermaritzburg this afternoon.
“May his beautiful soul rest in eternal peace. The club requests privacy and patience be granted his family and friends at this difficult time.”
Ntuli made 142 appearances for AmaZulu, including six this season. He also featured for Mamelodi Sundowns, Cape Umoya and Golden Arrows.
We, at iDiski Times, would like to express our condolences to Ntuli’s family and friends and everyone in the Usuthu football fraternity.
AmaZulu wamethibitisha kuwa mshambuliaji Bonginkosi Ntuli ameaga dunia kwa masikitiko baada ya kulazwa hospitalini wiki jana.
Msichana huyo mwenye umri wa miaka 32 alifunga ndoa hivi majuzi na Mkurugenzi Mtendaji wa AmaZulu FC Sinenjabulo Zungu, lakini furaha ya wanandoa hao ilikuwa ya muda mfupi.
Inasemekana Ntuli alilazwa hospitalini wiki iliyopita, na Usuthu sasa wamethibitisha kifo chake cha huzuni siku ya Jumapili.
"Ni kwa moyo mzito sana tunawataarifu kuhusu kifo cha mshambulizi wetu mpendwa na mtumishi mwaminifu, Bonginkosi Ntuli," klabu hiyo ilisema
“Ntuli was (very recently) diagnosed with an aggressive form of cancer, which metastasized and ultimately led to his death at the Midlands Medical Centre Private Hospital, in Pietermaritzburg this afternoon.
"Ntuli (hivi karibuni sana) aligundulika kuwa na aina kali ya saratani, ambayo ilisababisha metastasis na hatimaye kupelekea kifo chake katika Hospitali ya Kibinafsi ya Midlands Medical Center, huko Pietermaritzburg mchana wa leo.
"Roho yake nzuri ipumzike kwa amani ya milele. Klabu inaomba faragha na uvumilivu upewe familia yake na marafiki katika wakati huu mgumu."
Ntuli aliichezea AmaZulu mechi 142, zikiwemo sita msimu huu. Pia alichezea Mamelodi Sundowns, Cape Umoya na Golden Arrows.
Sisi, iDiski Times, tunapenda kutoa pole kwa familia ya Ntuli, marafiki na kila mmoja katika udugu wa soka wa Usuthu.
Wednesday, November 8, 2023
THUBUTU MANGUNGU AAPA HAJIUZULU UENYEKITI KLABU YA SIMBA
🗣"Nijiuzulu kwa sababu gani, kwani timu inafanya vibaya ? Tumepoteza mechi 1 tu, kwa nini hawakusema nijiuzulu wakati tunashinda mfululizo?"
WANA NGUVU MOJA MMESIKIA MANGUNGU ?
Baadhi ya wadau wa soka wakizungumzia shinikizo la kutakiwa kujiuzulu lililozagaa mitandaoni wanasema hao wanamtaka Mangungu ajiuzulu wanapata shinikizo nyuma ya nani??? tatizo halionekani na je hao wanamtaka ajiuzulu sio waliomchagua yeye kuwa mwenyekiti?
MANULA NA BOCCO WAITWA TIMU YA TAIFA KULIPIGANIA TAIFA BADO BOCCO ATABAKIA KUWA BOCCO
Nyota wetu wanne wameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi za kufuzu fainali za Kombe la Dunia.
Nyota hao ni mlinda mlango, Aishi Manula kiungo mkabaji, Mzamiru Yassin na washambuliaji John Bocco na Kibu Denis.
Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu akiuguza majeraha ya nyama za paja Manula amerejea katika kikosi cha Stars.
Stars itacheza mechi mbili za kufuzu dhidi ya Niger na Morocco.
Wapo mashabiki wengi nchini wanamtusi Bocco lakini hao ni kutokana na kutokuwa na weledi wa mchezo wa soka,Bado Bocco ni mchezaji mwenye kiwango cha kuendelea kuthaminiwa na Taifa kwa kuwa anao uwezo na mpaka sasa hakuna mchezaji yeote mshambuliaji kama Bocco wengine ni ushabiki lakini bado Caputano John Raphael Bocco anastahili kupewa maua yake
Subscribe to:
Comments (Atom)
FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE
Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...
-
TAARIFA KWA UMMA Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigiz...
-
🟡Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Yanga itasafiri Jumatatu hii November 20, 2023 kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza...






