Wednesday, November 8, 2023

MANULA NA BOCCO WAITWA TIMU YA TAIFA KULIPIGANIA TAIFA BADO BOCCO ATABAKIA KUWA BOCCO

Nyota wetu wanne wameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi za kufuzu fainali za Kombe la Dunia. Nyota hao ni mlinda mlango, Aishi Manula kiungo mkabaji, Mzamiru Yassin na washambuliaji John Bocco na Kibu Denis. Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu akiuguza majeraha ya nyama za paja Manula amerejea katika kikosi cha Stars. Stars itacheza mechi mbili za kufuzu dhidi ya Niger na Morocco. Wapo mashabiki wengi nchini wanamtusi Bocco lakini hao ni kutokana na kutokuwa na weledi wa mchezo wa soka,Bado Bocco ni mchezaji mwenye kiwango cha kuendelea kuthaminiwa na Taifa kwa kuwa anao uwezo na mpaka sasa hakuna mchezaji yeote mshambuliaji kama Bocco wengine ni ushabiki lakini bado Caputano John Raphael Bocco anastahili kupewa maua yake

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...