Wednesday, November 8, 2023

THUBUTU MANGUNGU AAPA HAJIUZULU UENYEKITI KLABU YA SIMBA

🗣"Nijiuzulu kwa sababu gani, kwani timu inafanya vibaya ? Tumepoteza mechi 1 tu, kwa nini hawakusema nijiuzulu wakati tunashinda mfululizo?" WANA NGUVU MOJA MMESIKIA MANGUNGU ? Baadhi ya wadau wa soka wakizungumzia shinikizo la kutakiwa kujiuzulu lililozagaa mitandaoni wanasema hao wanamtaka Mangungu ajiuzulu wanapata shinikizo nyuma ya nani??? tatizo halionekani na je hao wanamtaka ajiuzulu sio waliomchagua yeye kuwa mwenyekiti?

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...