Thursday, November 2, 2023

REMA WA NIGERIA ATUHUMIWA KUSHIRIKIANA NA MASHETANI KUIMBA MUSIC

Msanii Rema kutoka nchini Nigeria amekutana na tuhuma za Mashabiki Kwenye Mitandao ya Kijamii zikidai kuwa Msanii huyo anajihusisha na imani za kishetani na hii ni baada ya kuachia Video clip ya wimbo wake mpya wa smooth Criminal ambao upo kwenye Ep yake Mpya ya Ravage inayo tarajiwa kutoka siku ya ijumaa. Mashabiki wamemjia juu Rema baada ya clip hiyo kuonesha matukio yanayo husisha na imani za kishetani. Tafadhari tembelea YouTube channel yetu ya Presenterdax kwa taarifa nyingi zaidi.

WEKUNDU WA MSIMBAZI WAOGA MABILIONI YA PILSNER LAGER KWA MIAKA MITATU

Klabu ya Simba Sports Club yenye historia kubwa kuliko klabu chochote katika Ukanda wa Afrika ya Mashariki na Katiimeingia mkataba wa miaka mitatu na Kampuni ya Serengeti Breweries kupitia bia yake ya Pilsner Lager. Mtendaji Mkuu wa Klabu, Imani Kajula amesema udhamini huu umekuja kuongeza kitu kikubwa sababu uendeshaji wa timu unagharimu kiasi kikubwa cha pesa. Kajula amesema makubaliano haya yatakuwa na faida kwa pande zote huku aliwahakikishia Pilsner kurejea kwa kishindo kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. “Tunawashukuru Serengeti kwa kudhamini huu, hamjakosea kutuamiani, mmekuja kwenye klabu sahihi. Tunaamini Muungano huu utakuwa na manufaa makubwa kwa pande zote mbili,” amesema Kajula. Mkurugenzi Mkuu wa Serengeti Breweries, Obina Anyarebenchi amesema makubaliano ya leo lengo lake sio tu kukuza chapa ya Pilsner bali ni kuhakikisha Watanzania wanafurahia bia yao pendwa. “Serengeti tunajivunia mkataba huu, hatujakuja Simba kwa bahati mbaya bali tunaujua ukubwa wa Simba na tunaamini utakuwa na faida kwetu pamoja na wenzetu,” amesema Obina. Akitoa neno la shukurani kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi wa klabu, Mjumbe wa Bodi Raphael Chegeni amesema Serengeti imewekeza sehemu sahihi na matunda yake wataanza kuyaona kuanzia sasa. “Karibuni sana Serengeti Breweries, mmekuja sehemu sahihi wenye furaha. Simba ni timu kubwa na kwakuanzia Jumapili ya Novemba 5 mnataanza kupata furaha,” amesema Chegeni.

KUIZOMEA AZAM KWA WAPONZA MASHABIKI WALIOZOEA DEZO KUANZA KULIPA VIINGILIO CHAMAZI

ZOMEA zomea ya mashabiki katika Uwanja wa Azam Complex imeifanya klabu hiyo kusitisha kuingia bure katika michezo yao. Tangu Ligi Kuu imeanza mashabiki walikuwa wakipewa ofa ya kuingia uwanjani bure ili kuisapoti timu hiyo, lakini mambo hayakuwa hivyo na ndipo mabosi wakaamua kuondoa utaratibu huo. Kuanzia mchezo wa juzi dhidi ya Namungo ambao wenyeji Azam FC walilala kwa mabao 3-1, mashabiki walioingia walilipia kiingilio cha chini cha Sh3,000.

MSANII ROMA MKATOLIKI AWAPONDA WAANDISHI MANABII WA UONGO WA BONGO

Baada ya msanii wa Nigeria Rema kupafomu kwenye jukwaa la ugawaji tuzo za Fifa usiku wakuamkia leo, Msanii wa Hip hop Roma ameamua kuwatolea uvivu waandishi na watangazaji wa habari wa bongo ambao wamekuwa na tabia zakuwabeza wasanii wa Bongo Fleva kwamba awatoboi kimataifa..! Angalia video ya Roma akitoa ya moyoni hapa, Gusa link hiiπŸ‘‰ https://linktw.in/hzffkv #MinoTV #Subscribe #SupportUs

AL AHLY HAS TRAMLED IT WITH MAMELODI SUNDOWNS-OUT AFL-AHLY AMEYAKANYAGA IMEISHIA NUFU FAINALI YA AFL

They were crying for penalty, they got it. They were crying for red card, they got it. They were crying for VAR to be checked, they checked it. Spoil brat of CAF. Thank you SundownsπŸ‘†

Wednesday, November 1, 2023

NOVEMBER FIXTURE FOR SIMBA SPORTS CLUB

HEEE CAF CL INA JAMBO LAKE HEBU CHEKISHIA

Lady and Gentleman This year CAF CL will be on flames πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯. Who will be the most scorer of CAF CL 2023-2024 Aziz Ki πŸ‡§πŸ‡« - > Young Africans Sports Club πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Bouli Jr. πŸ‡¨πŸ‡²-> Wydad Athletic Club - WAC πŸ‡²πŸ‡¦ Clatous Chama πŸ‡ΏπŸ‡²-> Simba SC Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Fiston Mayele πŸ‡¨πŸ‡©-> Pyramids πŸ‡ͺπŸ‡¬ Lucas Ribeiro πŸ‡§πŸ‡·-> Mamelodi Sundowns FC πŸ‡ΏπŸ‡¦ Mahmoud Kahraba πŸ‡ͺπŸ‡¬-> Al Ahly SC πŸ‡ͺπŸ‡¬ Percy Taus πŸ‡ΏπŸ‡¦-> Al Ahly SC πŸ‡ͺπŸ‡¬ Peter Shalulile πŸ‡³πŸ‡¦-> Mamelodi Sundowns FC πŸ‡ΏπŸ‡¦ Tiago azulΓ£o πŸ‡§πŸ‡·-> Petro de Luanda πŸ‡¦πŸ‡΄

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...