Thursday, November 2, 2023

MSANII ROMA MKATOLIKI AWAPONDA WAANDISHI MANABII WA UONGO WA BONGO

Baada ya msanii wa Nigeria Rema kupafomu kwenye jukwaa la ugawaji tuzo za Fifa usiku wakuamkia leo, Msanii wa Hip hop Roma ameamua kuwatolea uvivu waandishi na watangazaji wa habari wa bongo ambao wamekuwa na tabia zakuwabeza wasanii wa Bongo Fleva kwamba awatoboi kimataifa..! Angalia video ya Roma akitoa ya moyoni hapa, Gusa link hii👉 https://linktw.in/hzffkv #MinoTV #Subscribe #SupportUs

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...