Thursday, November 2, 2023
REMA WA NIGERIA ATUHUMIWA KUSHIRIKIANA NA MASHETANI KUIMBA MUSIC
Msanii Rema kutoka nchini Nigeria amekutana na tuhuma za Mashabiki Kwenye Mitandao ya Kijamii zikidai kuwa Msanii huyo anajihusisha na imani za kishetani na hii ni baada ya kuachia Video clip ya wimbo wake mpya wa smooth Criminal ambao upo kwenye Ep yake Mpya ya Ravage inayo tarajiwa kutoka siku ya ijumaa.
Mashabiki wamemjia juu Rema baada ya clip hiyo kuonesha matukio yanayo husisha na imani za kishetani.
Tafadhari tembelea YouTube channel yetu ya Presenterdax kwa taarifa nyingi zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE
Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...
-
TAARIFA KWA UMMA Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigiz...
-
🟡Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Yanga itasafiri Jumatatu hii November 20, 2023 kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza...

No comments:
Post a Comment