Sunday, October 22, 2023

Makonda Katibu mpya NEC Itikadi na Uenezi

Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM akirithi mikoba ya Sophia Mjema ambae kwasasa bi Mjema anakuwa Mshauri wa Rais Dr Samia wa wanawake na makundi maalum.

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...