Sunday, October 22, 2023

TOUT PUISANT MAZEMBE MAKES UMAFIA ES TUNIS DAR IN THE AFRICAN FOOTBALL LEAGUE

DR Congo's TP Mazembe team has managed to defeat the Tunisian ES Tunis team 1-0 in the quarter-final game of the African Football League, with a 1-0 defeat. TP Mazembe has managed to win the game at the National Stadium in Dar in Tanzania, which they used as their home ground after they managed to lead the goal scored in the 11th minute by striker Fofana by receiving a header pass and managed to lead the goal until the 90th minute, Tout Puissant Mazembe has come out ahead by winning the game where the return game will be played on October 25 in Tunis. The victory of Toui Puissant Mazembe has undoubtedly been contributed by thousands of Tanzanian fans who cheered immediately after being requested while the owner of TP Mazembe Katumbi paid for the tickets for all the fans with the aim of support
TIMU ya TP Mazembe ya DR Congo Imefanikiwa kuizibua timu ya ES Tunisya Tunisia bao moja kwenye mchezo war obo fainali ya mashindano mapaya ya mchezzo wa soka barani afrika ya African Football League kwa kipigo cha 1-0. TP Mazembe imefanikiwa kushinda mchezo huo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar nchini Tanzania walioutumia kuwa uwanja wao wa nyumbani baada ya kufanikiwa kuongoza bao lililofungwa katika dakika ya 11 na mshambuliaji Fofana kwa kupokea pasi ya kichwa na kufanikiwa kuongoza bao hilo hadi dakika ya 90,Tout Puissant Mazembe imetoka kifua mbele kwa kushinda mchezo huo ambapo mchezo wa marudiano utachezwa Oktoba 25 jijini Tunis. Ushindi wa Toui Puissant Mazembe bila shaka umechangiwa na maelfu ya mashambiki wa wananchi wa Tanzania kuishangilia mara baada ya kuombwa huku Mmiliki wa TP Mazembe Katumbi kulipia tiketi mashabiki wote kwa lengo la kuungwa mkono

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...