Monday, October 23, 2023

COACH CEDRIC KAZE OF NAMUNGO RESIGNS AS COACH-KIMEUMANA NAMUNGO KAZE AMEMUA KUIKIMBIA NAMUNGO

The bone that defeated the hyena in the wild really cannot be human, this is what happened to Coach DECRIC KAZE, a citizen of Burundi, who decided to resign after failing to coach the Tanzanian Namungo team that participates in the fifth league in Africa for quality, resigning as the head coach of the team from the Young Africans team being an assistant coach. Kaze has been forced to step down after failing to give Namungo three points in six games of the league that includes 16 teams and is sponsored by the National Commercial Bank-NBC, drawing three games and losing three games. Initially, at the beginning of the registration season, Kaze wanted to be the head coach of Young Africans following the team's two consecutive championships in the last two seasons under the head coach Muhammad Nabi, a Tunisian national as an assistant coach, he believed he was ready to be the head coach. In addition, Kaze refused to extend the contract to be an assistant coach in the Young Africans team and head to the Namungo team in this season of the 2023/24 league. This is now the result before Namungo in Lindi region was beaten by the Singida Big Stars team and decided to resign; . Namungo 0-1 JKT TZ Namungo 1-1 KMC Yanga 1-0 Namungo Namungo 0-0 Heroes Kagera 1-1 Namungo Namungo 2-3 Singida Big stars
MFUPA uliomshinda Mnyamapori fisi kwakweli binadamu hauwezi,hivi ndivyo ilivyokuwa kwa Kocha DECRIC KAZE raia wa Burundi aliyeamua kujiuzulu baada ya kushindwa kufukuruka kuikoch timu ya Namungo ya Tanzania inayoshiriki ligi ya Tano barani afrika kwa ubora kujiuzulu akiwa kocha Mkuu wa timu hiyo akitokea timu ya Young Africans akiwa kocha msaidizi. Kaze amelazimika kuachia ngazi baada ya kushindwa kuipatia pointi tatu Namungo katika michezo Sita ya ligi hiyo inayoshirikisha timu 16 na kudhaminiwa na Mdhamini benki ya Biashara ya Taifa-NBC,akitoa sare michezo mitatu,kupoteza michezo mitatu Awali mwanzoni mwa msimu wa usajili Kaze alitaka kuwa kocha Mkuu Young Africans kufuatia timu hiyo kutwa ubingwa mara mbili mfululizo wa ligi kuu katika misimu miwili iliyopita chini ya kocha mkuu Muhammad Nabi raia wa Tunisia akiwa kocha Msaidia aliamini ameiva kuwa kocha mkuu. Aidha Kaze alikataa kuongeza mkataba wa kuwa kocha msaidizi kwenye timu ya Young Africans na kuelekea tmu ya Namungo katika msimu huu wa ligi ya 2023/24, N haya sasa ndiyo matokeo yake kabla Namungo ya mkoani Lindi kufungwa na timu ya Singida Big Stars na kuamua kujiuzulu; . Namungo 0-1 JKT TZ Namungo 1-1 KMC Yanga 1-0 Namungo Namungo 0-0 Mashujaa Kagera 1-1 Namungo Namungo 2-3 Singida Big stars

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...