Tuesday, October 24, 2023

KUMBE KRAMO MCHEZAJI WA SIMBA AMELAZWA TUNIS NCHINI TUNISIA?

Mchezaji wa Simba Sc, Aubin Kramo amefanyiwa upasuaji wa goti katika Hospitali ya El Yosr Internationale Sousse nchini Tunisia. Kramo ndie mchezaji aliyekuwa gumzo katika msimu wa Usajili hasa kwa upande wa Yanga waliyekuwa wakimtafuta kupata saini yake lakini kumbe moyo wa Mtu Msimu alikuwa na lake jambo la kusajiliwa na Klabu ya Simba inayoshiriki African football League ikiwa ni miongoni mwa timu inayoshika nafasi ya Saba kwa viwango Tunakuombea Upone Haraka Mwamba

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...