Tuesday, October 24, 2023

JEAN JACQUES NDALA NGAMBO DRC REFEREE APPOINTED TO MANAGE THE MATCH BETWEEN AL AHLY AND SIMBA

AFRICAN FOOTBALL FEDERATION CAF has appointed FIFA badge player Jean Jacques Ndala Ngambo, a citizen of DRC, to referee the second match between the Tanzanian Lions and the hosts Al Ahly of Egypt today at the Inernational tournament in the city. Cairo Ndala An honorable referee in the DRC, apart from playing the replay of the game that will be played today in Egypt, CAF in defense knows Ndala as a musician who oversees all the rules of football on balance. . January to February 2024. This appointment is a true recognition of his talent and expertise in the field of arbitration. This clearly demonstrates the recognition of the quality of referee Ndala and his ability to play major tournaments.
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Barani afrika CAF limemteua refarii mwenye Beji ya FIFA Jean Jacques Ndala Ngambo Raia wa DRC kuwa mwamuzi wa kati katika mchezo wa pili wa marudiano kati ya Simba ya Tanzania na wenyeji Al Ahly ya Misri hii leo kwenye dimba la Inernational lililopo jijini Cairo Ndala Mwamuzi mwenye heshima nchini DRC pia mbali na kuchezesha marudiano ya mchezo huo utakaopigwa leo nchini Misri,CAF katika kuhakikisha linamfahamu Ndala kuwa mwamuzi anaesimamia sheria zote za soka kwa mizania pia ameju uishwa kuwa mwamuzi wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika-CAN itakayoanza mwezi Januari na Februari 2024. Uteuzi huu ni utambuzi wa kweli wa talanta yake na ujuzi wake katika uwanja wa usuluhishi. Hii inadhihirisha wazi kutambua ubora wa mwamuzi Ndala na uwezo wake wa kuchezesha mashindano makubwa.

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...