Monday, October 23, 2023

AL AHLY WILL NOT FORGET SIMBA IN CAIRO-COACH-AL AHLY LAZIMA WAYAKANYAGE KESHO CAIRO-ROBERTINHO

Kocha Robertihno Kuelekea Mchezo wa Kesho "Nafahamu tutakuwa na Mechi ngumu Kesho dhidi ya timu Kubwa Afrika ila Kuna namna ambavyo tutaingia na Mpango wa tofauti ulivyokuwa Kwenye Mchezo wa Kwanza nyumbani pia nitafanya mabadiliko ya Wachezaji kwenye baadhi ya Maeneo ili Kufanikiwa vizuri na Kupata Ushindi." Kocha wa Mpira Kamaliza Sasa tusubiri Kesho..🙌🙌 #amoskasamnyiga
Kocha Robertihno Kuelekea Mchezo wa Kesho "Nafahamu tutakuwa na Mechi ngumu Kesho dhidi ya timu Kubwa Afrika ila Kuna namna ambavyo tutaingia na Mpango wa tofauti ulivyokuwa Kwenye Mchezo wa Kwanza nyumbani pia nitafanya mabadiliko ya Wachezaji kwenye baadhi ya Maeneo ili Kufanikiwa vizuri na Kupata Ushindi." Kocha wa Mpira Kamaliza Sasa tusubiri Kesho..Hawatatusahau hawa Al Ahly🙌🙌

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...