Tuesday, November 28, 2023

SIMBA NA YANGA ZASHINDWA KUTOA WACHEZJI BORA WA KIKOSI CHA WIKI CAFCL AFRIKA,AL AHLY YATAMBA

TIMU Tisa zinazoshiriki ligi ya Vilabu Bingwa Barani Afrika kati ya 16 zimefanikiwa kupata kuwa na wachezaji bora wa wikia kikosi cha wiki wanaound,huku Al Ahly ikiongoza kwa kutoa wachezaji watatu,vilabu viwili vya Tanzania Simba na Yanga vimeshindwa kufurukuta

Sunday, November 26, 2023

HILI SIO DUKA BALI MCHEZO WA SOKA SIO UGOMVI

Hilo sio duka bali ni jezi ambazo mchezaji wa zamani wa Liverpool MARTIN SKERTAL alibadilishana Na wachezaji wenzake uwanjani kila mara baada ya Mchezo husika kutamatika.

KOCHA MPYA SIMBA HUYOOOO

Friday, November 24, 2023

MNORWAY APIGIWA UPATU KUJA KUMRITHI SAMATTA KULE STARS

Kwa sasa stori kubwa mjini Twitter (X) ni Kampeni ya kushinikiza mamlaka husika kumshawishi Mshambuliaji wa Bodø/Glimt, Amahl William D'vaz Pellegrino aje kuitumikia timu ya taifa ya Tanzania. 🌍Mshambuliaji huyo mzaliwa wa jijini Drammen nchini Norway na wazazi wenye asili ya Tanzania amekuwa tegemeo kunako klabu hiyo ya Norway ambapi tangu amejiunga nao mwaka 2021 amecheza michezo 69 na kufanikiwa kufunga mabao 54. 🌍Licha ya Amhl kuwa na umri wa miaka 33 kwa sasa wanaharakati hao mjini X wanaamini kuwa umri ni namba tu na kijana anastahili kuja kuipa nguvu timu ya taifa lake la asili ikiwa zimesalia siku chache kabla ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika na wakati huu ambapo mamlaka zinajitahidi kuhakikisha wale wote wenye chembechembe za taifa la Tanzania wanakuja kuongeza nguvu kwenye timu ya taifa ya Tanzania. 🌍Kampeni hii imeonekana kuungwa mkono na watu wa kutoka nyanja mbalimbali kama vile waandishi wa habari ,wanasiasa na wengineo ambao wanaamini ongezeko la wachezaji wanaocheza maeneo mbalimbali duniani wataongeza na kuleta mafanikio kwa timu ya taifa. See less

KUELEKEA MCHEZO WA SIMBA Vs ASEC MIMOSE KWA MKAPA

Kocha Cadena kuelekea mchezo wa kesho anasema

SIMBA YAFUNGIWA KUSAJILI WA DIRISHA DOGO

SIMBA YAJIELEZA ILIVYOMUUZA PAPE SAKHO SASA YAANZA KULA MATUNDA YA SAKHO

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...