Friday, November 24, 2023

MNORWAY APIGIWA UPATU KUJA KUMRITHI SAMATTA KULE STARS

Kwa sasa stori kubwa mjini Twitter (X) ni Kampeni ya kushinikiza mamlaka husika kumshawishi Mshambuliaji wa Bodø/Glimt, Amahl William D'vaz Pellegrino aje kuitumikia timu ya taifa ya Tanzania. 🌍Mshambuliaji huyo mzaliwa wa jijini Drammen nchini Norway na wazazi wenye asili ya Tanzania amekuwa tegemeo kunako klabu hiyo ya Norway ambapi tangu amejiunga nao mwaka 2021 amecheza michezo 69 na kufanikiwa kufunga mabao 54. 🌍Licha ya Amhl kuwa na umri wa miaka 33 kwa sasa wanaharakati hao mjini X wanaamini kuwa umri ni namba tu na kijana anastahili kuja kuipa nguvu timu ya taifa lake la asili ikiwa zimesalia siku chache kabla ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika na wakati huu ambapo mamlaka zinajitahidi kuhakikisha wale wote wenye chembechembe za taifa la Tanzania wanakuja kuongeza nguvu kwenye timu ya taifa ya Tanzania. 🌍Kampeni hii imeonekana kuungwa mkono na watu wa kutoka nyanja mbalimbali kama vile waandishi wa habari ,wanasiasa na wengineo ambao wanaamini ongezeko la wachezaji wanaocheza maeneo mbalimbali duniani wataongeza na kuleta mafanikio kwa timu ya taifa. See less

KUELEKEA MCHEZO WA SIMBA Vs ASEC MIMOSE KWA MKAPA

Kocha Cadena kuelekea mchezo wa kesho anasema

SIMBA YAFUNGIWA KUSAJILI WA DIRISHA DOGO

SIMBA YAJIELEZA ILIVYOMUUZA PAPE SAKHO SASA YAANZA KULA MATUNDA YA SAKHO

Wednesday, November 22, 2023

MENDY KUIPELEKA MAN CITY MAHAKAMANI KISA BILIONI 31.Benjamin Mendy suing Man City over unpaid wages

Benjamin Mendy (29) anafanya harakati za kuipeleka Man City mahakamani Kutokana na Kuwadai kiasi cha Pauni Milioni 10 ambazo ni sawa na Tshs Bilioni 31 za Kitanzania kama malimbikizo ya mshahara wake wa miaka miwili. Klabu hiyo iliacha kumlipa mishahara yake alipokamatwa kutokana na tuhuma za ubakaji.Kwasasa Mendy anakipiga katika klabu ya Lorient ya nchini kwao Ufaransa 🇫🇷
Benjamin Mendy has launched a "multi-million-pound" claim against Manchester City over unpaid wages. The 29-year-old former City defender has filed the claim with the Employment Tribunal within the last few days, claiming "unauthorised deductions from wages" after he was charged with rape and sexual assault in 2021. In July, Mendy was found not guilty by a jury in a retrial at Chester Crown Court. Earlier this year the footballer had been found not guilty of sexual offences against a number of women but the jury were unable to reach verdicts on the two charges, leading to the retrial. Mendy has been seeking the return of pay he is owed up until the end of his contract, which ended in June 2023. Nick De Marco KC has confirmed to Sky Sports News he is acting on behalf of the now-Lorient player, and that a claim has been filed. A statement said: "Nick De Marco KC (instructed by Laffer Abogados (Madrid) is acting for the former Manchester City player Benjamin Mendy in a multi-million-pound claim for unauthorised deductions from wages. "Manchester City FC failed to pay Mr Mendy any wages at all from September 2021, following Mr Mendy being charged with various offence all of which he was subsequently acquitted of, until the end of his contract in June 2023. The claim will come before an Employment Tribunal." Manchester City did not comment when contacted by Sky Sports News Mendy became the Premier League's most expensive defender when City paid £52m to Monaco for him in 2017. He won three titles with City and was part of France's World Cup-winning squad in 2018. Mendy last played for the club in August 2021, and now plays for Lorient in Ligue 1.

TAIFA STARS YAGEUKA KICHWA CHA MWEHU KWA MKAPA

FT. Tanzania 0-2 Morocco Majirani zetu Taifa Stars wameona vimulimuli pia leo. Poleni ndugu ndio hali ya soka hiyo Kwingineko; Comoros beat Ghana 1-0, Togo held reigning African champions Senegal 0-0, Uganda beat Somalia 1-0 away, Niger beat 2012 Afcon champions Zambia 2-1 then Rwanda Amavubi beat South Africa's Banyana Banyana 2-0. Kweli mpira hudunda 🙌 Hata hivyo wajuaji wa soka na sio mpira wameendelea kusema kilichowaua Stars ni kukosa mechi za majaribio,kwani TFF ilitakiwa kuwaeleza watanzania kwanini timu hiyo haina mechi za majaribio zaidi kwanini kila kunapopambazuka na machweo wachezaji huchaguliwa upya kujiunga na kikosi hicho cha Taifa je unategemea nini?

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...