Friday, October 20, 2023

Nahodha wa timu, John Bocco amesema licha ya ugumu tutakaoupata kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly lakini uwepo wa mashabiki ambao watakuja kwa wingi uwanjani utatuongezea nguvu. Bocco amesema mashabiki wana mchango mkubwa kuisaidia timu kupata ushindi nasi tutatumia nafasi hiyo kuhakikisha tunashinda ili kujiweka kwenye mazingira mazuri. Bocco ameongeza kuwa haitakuwa mechi rahisi na kila mchezaji analijua hilo na maandalizi waliyopata anaamini tutapata ushindi. The captain of the football team of Simba sports club, John Bocco has said that despite the difficulties we will face in tomorrow's game against Al Ahly, the presence of fans who will come to the field in large numbers will increase our strength. Bocco said the fans have a great contribution to help the team win and we will use that opportunity to ensure we win to put ourselves in a good environment. Bocco added that it will not be an easy match and every player knows that and the preparation they got believes we will win.
Mbali na kile kinachoelezwa kwamba eti mcheza kwao hutuzwa,hilo halikuwezekana kwa timu mwenyeji ya Kiwanda cha sukari cha Mtibwa iliposhindwa kuwika kwenye Uwanja wa mpira wa miguu wa Manungu mara baada ya kupigwa na Kagera Sugar ya kiwanda cha sukari cha Kagera magoli 2=0 na kuiwezesha Kagera kupata pointi Tatu,mchezo ambao ni derby ya viwanda vya sukari,. In addition to what is said that their player is supposed to be rewarded, that was not possible for the host team of Mtibwa sugar factory when they failed to come to the Manungu football stadium immediately after being beaten by Kagera Sugar of Kagera sugar factory 2 goals = 0 and enabling Kagera to get three points, a game that is a derby of sugar factories.

Thursday, October 19, 2023

Mohammed El Shenawy, captain of Al Ahly SC: ''We know it's a new competition, and Al Ahly we aim to win every competition we participate in'' Mohammed El Shenawy, nahodha wa Al Ahly SC: ''Tunajua ni mashindano mapya, na Al Ahly tunalenga kushinda kila mashindano tunayoshiriki'
KESHO. "Tunaweza Kucheza Kwa juhudi katika Mashindano makubwa, Nina Kikosi Kizuri, Kama Simba Sc tunamuheshimu Kila Mpinzani na tunaamini katika uwezo tuliokuwa nao ndani na nje ya Tanzania kwa sasa." "Al Ahly ni timu kubwa na bora hapa Afrika, Kesho itakuwa Miongoni mwa Mechi ngumu kutokana na ubora wa Mpinzani tunatakiwa Kuzingatia Mchezo wa kesho Kwani tunataka Kupambana kwa hali na mali ili kupata matokeo." Vp unakubaliana na Maneno ya Robertihno au tusubili dakika 90😳🙌🤝
TOMORROW. "We can play with effort in big competitions, I have a good team, like Simba Sc we respect every opponent and we believe in the ability we had inside and outside Tanzania at the moment." "Al Ahly is the biggest and best team here in Africa. Tomorrow will be one of the most difficult matches due to the quality of the opponent. We need to focus on tomorrow's game because we want to fight with quality and wealth to get results." Vp do you agree with Robertihno's words or don't wait 90 minutes😳🙌🤝

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...