Thursday, October 19, 2023

KESHO. "Tunaweza Kucheza Kwa juhudi katika Mashindano makubwa, Nina Kikosi Kizuri, Kama Simba Sc tunamuheshimu Kila Mpinzani na tunaamini katika uwezo tuliokuwa nao ndani na nje ya Tanzania kwa sasa." "Al Ahly ni timu kubwa na bora hapa Afrika, Kesho itakuwa Miongoni mwa Mechi ngumu kutokana na ubora wa Mpinzani tunatakiwa Kuzingatia Mchezo wa kesho Kwani tunataka Kupambana kwa hali na mali ili kupata matokeo." Vp unakubaliana na Maneno ya Robertihno au tusubili dakika 90😳🙌🤝

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...