Friday, October 20, 2023
Mbali na kile kinachoelezwa kwamba eti mcheza kwao hutuzwa,hilo halikuwezekana kwa timu mwenyeji ya Kiwanda cha sukari cha Mtibwa iliposhindwa kuwika kwenye Uwanja wa mpira wa miguu wa Manungu mara baada ya kupigwa na Kagera Sugar ya kiwanda cha sukari cha Kagera magoli 2=0 na kuiwezesha Kagera kupata pointi Tatu,mchezo ambao ni derby ya viwanda vya sukari,.
In addition to what is said that their player is supposed to be rewarded, that was not possible for the host team of Mtibwa sugar factory when they failed to come to the Manungu football stadium immediately after being beaten by Kagera Sugar of Kagera sugar factory 2 goals = 0 and enabling Kagera to get three points, a game that is a derby of sugar factories.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE
Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...
-
TAARIFA KWA UMMA Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigiz...
-
🟡Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Yanga itasafiri Jumatatu hii November 20, 2023 kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza...

No comments:
Post a Comment