Friday, May 4, 2012

LIFE STRUGGLES AT BABATI-TANZANIA

I feel I’m being judged
for what I do n say..

I remember back to Barbies
and play days at the park..

When I didn’t worry about
other people’s remarks..

Now lookin in the mirror
I see to my surprise..

A completely different person
staring in my eyes..

The care free little girl
I saw at 4 and 5..

Is now becoming a teen..
Just trying to survive...


ONGEZEKO LA HEWA YA UKAA-Cabon dioxid





Huyu bwana ni Mchaga,fundi wa nguo mjini Babati-Tanzania kwa kutumia pasi hii ya mkaa,bila ya kutambua athari za matumizi ya pasi hii lakini amekuwa akisababisha uchafuzi wa hewa na mazingira-pasi ya mkaa haifai kwa matumizi

PATA VITAMIN C HAPA

Ugumu wa maisha ni changamoto ya kutafuta namna ya kuishi,matunda ni kinga ya mwili kwa mlaji kupata vitamivi C,mwanamama huyu hutoa kinga ya mwili katika kituo cha mabasi cha Babati-Tanzania

Thursday, May 3, 2012

Kachala pamoja na kutuhumiwa kuwa mtoto mtukutu lakini anaomba msaada wa tiba ya mguu wake unaomsumbua baada ya kupata vipigo vya mara kwa mara toka kwa wananchi,wasiliana na +255652264040 kuwahisha tiba yake

UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO!!!





Huyu ni Bw Juma Kachala kijana mwenye sikio moja baada ya kukatwa kama adhabu badala ya kifungo,shughuli zake kubwa anatuhumiwa kuwachomoa abiria kitu kidogo katika kituo cha Babati mjini

Wednesday, May 2, 2012

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...