Friday, May 4, 2012

PATA VITAMIN C HAPA

Ugumu wa maisha ni changamoto ya kutafuta namna ya kuishi,matunda ni kinga ya mwili kwa mlaji kupata vitamivi C,mwanamama huyu hutoa kinga ya mwili katika kituo cha mabasi cha Babati-Tanzania

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...