Thursday, May 3, 2012

UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO!!!





Huyu ni Bw Juma Kachala kijana mwenye sikio moja baada ya kukatwa kama adhabu badala ya kifungo,shughuli zake kubwa anatuhumiwa kuwachomoa abiria kitu kidogo katika kituo cha Babati mjini

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...