Saturday, October 21, 2023

Kikosi cha Simba SC, Kimeanza safari Jioni hii Kuelekea Misri kwaajili ya Mchezo wa Marudiano wa mashindano makubwa mapaya ya African Football League dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Jumanne. Simba ndio timu pekee katika Ukanda wa afrika ya Mashariki ya kwanza na kubwa kulingana na historia yake kuliko timu nyingine yeyote licha kwamba bado baadhi ya mashabiki wa timu ya Young Africans wanalazimisha kutaka kuonekana kuwa wao ndio wenye historia zaidi kuliko timu ya Simba kwa kigezo cha Young Africans kushiriki fainali za Kombe ya Shirikisho chini ya CAF Huku Klabu ya Simba ikiwaimefika Robo fainali ya ligi ya CAF ya afrika mara Nne na ligi ya shirikisho mara tatu Agg: 2-2.

No comments:

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...