Sunday, November 5, 2023

DERBY OF CARRIER CORPS KAPOMBE SATISFY YOURSELF BY KEEPING YOURSELF FIT AND WINNING

The right guard who is a player in our squad, Shomari Kapombe has said good preparations for today's NBC Premier League game against Yanga. Kapombe has said that the one week they got to prepare for the big game in Africa is enough and he believes we will succeed in winning. The defender, who is one of the players who have played in many Derby matches, said that when it comes to a day like today, he is not under pressure and tries to do well to help the team win. Kapombe has said that they are aware that the game carries the emotions of the fans, so they will make sure they fight to give them happiness. "On our part, we are ready, we have had one week of preparation which makes us ready for today's game. "We know that tomorrow's game has a lot of pressure and it carries emotions for the fans and it is always looked forward to, we players are prepared for everything, we win and give happiness to our fans," said Kapombe.
Mlinzi wa kulia ambaye ni mchezaji mchezaji ndani ya kikosi chetu, Shomari Kapombe amesema maandalizi mazuri kuelekea mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga. Kapombe amesema wiki moja waliopata ya kujiandaa na mchezo huo mkubwa Afrika yametosha na anaamini tutafanikiwa kupata ushindi. Mlinzi huyo ambaye ni miongoni mwa wachezaji waliocheza mechi nyingi za Derby amesema inapofika siku kama ya leo huwa hana presha na anajitahidi kufanya vizuri ili kuisaidia timu kupata ushindi. Kapombe amesema wanafahamu mchezo huo umebeba hisia za mashabiki hivyo watahakikisha wanapambana ili kuwapa furaha. “Kwa upande wetu tupo tayari, tumepata wiki moja ya maandalizi ambayo inatufanya tuwe tayari kwa mchezo wa leo. “Tunafahamu mchezo wa kesho una presha kubwa na unabeba hisia kwa mashabiki na huwa unatazamiwa sana sisi wachezaji tumejiandaa kwa kila kitu tunashinda na kuwapa furaha mashabiki wetu,” amesema Kapombe.

YOUNG AFRICANS CLUB ASK THE FANS AT THE DERBY TO CLOSE SIMBA SPOTS CLUB

"On behalf of my teammates, we have prepared well, we know the importance of tomorrow's game for our members and fans and we know their strength in the field when they come to support us and we ask them to come tomorrow in large numbers and cheer throughout the game, together let's make sure we leave with victory" Dickson Job The full Press video is available on Yanga TV and Yanga SC APP
"Kwa niaba ya Wachezaji wenzangu tumejiandaa vizuri tunajua umuhimu wa mchezo wa kesho kwa Wanachama na Mashabiki wetu na tunajua nguvu yao uwanjani wakija kutusapoti na tunawaomba kesho waje kwa wingi na kushangilia muda wote wa mchezo, kwa pamoja tuhakikishe tunaondoka na ushindi" Dickson Job Video kamili ya Press inapatikana Yanga TV na Yanga SC APP

CARRIER CORPS DERBY-YOUNG AFRICANS COACH PROMISES FUN-KOCHA MIGUEL AAHIDI BURDANI KWENYE DERBY YA KARIAKOO

"It will be a good and emotional game, we have had a good week of preparation and we have made good preparations. The players are in good condition, Tanzanians and Africa in general will witness a great game tomorrow" Miguel Gamondi
"Utakuwa mchezo mzuri na wenye hisia, tumepata wiki nzuri ya maandalizi na tumefanya maandalizi mazuri. Wachezaji wako kwenye hali nzuri, Watanzania na Afrika kwa ujumla kesho watashuhudia mchezo bora" Miguel Gamondi

Friday, November 3, 2023

DEJAN MLETE MZUNGU AWAKUMBUKA WEKUNDU WA MSIMBAZI

hello simba fans we love you....have a nice weekend 🦁

TFF KUWASHUGHULIKIA WALIOMDUNDA SHABIKI ALIYEVAA JEZI YA YANGA

Bodi ya Ligi Kuu pia imeelezwa kusikitishwa na kitendo cha ukatili na vurugu kilichofanywa na mashabiki waliokuwa wamevaa jezi ya Simba na bluu kumshambukia shabiki wa Yanga katika mechi ya Simba vs Ihefu Uwanja wa Mkapa. Bodi ya Ligi Kuu pia imeelezwa kusikitishwa na kitendo cha ukatili na vurugu kilichofanywa na mashabiki waliokuwa wamevaa jezi ya Simba na bluu kumshambukia shabiki wa Yanga katika mechi ya Simba vs Ihefu Uwanja wa Mkapa. “Bodi kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama inakamilisha mchakato wa kuwatambua mashabiki wote waliohusika na tukio hilo kabla ya kuwachukulia hatua kali,” imeeleza taarifa hiyo.

GAMONDI ATUMIA DAKIKA 180 KUMSOMA MNYAMA ILI KUEPUKA KUKANDWA

Ni Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amewasoma wapinzani wao Simba kwa muda wa dakika 180 baada ya kuwachambua wapinzani wake.Novemba 5 Yanga wanatarajiwa kuwa wageni wa Simba kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi, Uwanja wa Mkapa. Yanga imekusanya pointi 18 baada ya kucheza mechi saba huku Simba pia wakiwa na pointi 18 baada ya kucheza michezo sita. Gamondi alitumia dakika 90 za kwanza za mchezo wa robo fainali ya AFL ambapo alitua kwa Mkapa kutazama mchezo huo ambao ulimalizika kwa Simba kutoa sare ya mabao 2-2. Mchezo mwingine ambao Gamondi aliweza kuushuhudia ulikuwa ni ule wa dhidi ya Ihefu wa ligi kuu ambapo Simba waliibuka na ushindi wa mabao 2-1. Kocha Gamondi atakuwa na kazi moja tu ya kuhakikisha kuwa anaipa ushindi yanga mara baada ya msimu uliopita Yanga kupoteza kwa idadi ya mabao 2-0 dhidi ya Simba kocha akiwa ni Nassredine Nabi. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Simba amesema kuwa wanatambua kwamba kocha wa Yanga alikuwa akiwafuatilia hivyo hawana mashaka.

CAF YAUKATAA UWANJA HUKO GHANA

CAF has rejected the Cape Coast Stadium as venue to host Medeama SC's CAFCL group stage matches. Meanwhile, πŸ’° Ghana πŸ‡¬πŸ‡­ received $9million from the 2022 World Cup, the money was shared by the FA officials and players. No one thought about investing some of the money to develop and maintain football facilities. 🏟 This is the state of their best stadium in the country. This venue was closed for renovation a few months ago. NB// If you go to most stadiums in Ghana and want to use the washroom, you have to go home and then come back and continue watching the game. How are countries like Morocco, South Africa, and Algeria able to have multiple quality playing surfaces and facilities and yet other cannot even own just one? πŸ€” Ghana why? πŸ˜‚πŸ˜‚
AF imeukataa Uwanja wa Cape Coast kuwa uwanja wa kukaribisha Medeama SC ya hatua ya makundi ya CAFCL. Wakati huo huo, πŸ’° Ghana πŸ‡¬πŸ‡­ ilipokea dola milioni 9 kutoka kwa Kombe la Dunia la 2022, pesa hizo ziligawanywa na maafisa wa FA na wachezaji. Hakuna aliyefikiria kuwekeza baadhi ya pesa kuendeleza na kudumisha vifaa vya soka. 🏟 Hii ndio hali ya uwanja wao bora zaidi nchini. Ukumbi huu ulifungwa kwa ukarabati miezi michache iliyopita. NB// Ukienda kwenye viwanja vingi vya Ghana na kutaka kutumia chumba cha kuosha, lazima urudi nyumbani kisha urudi na kuendelea kutazama mchezo. Je, nchi kama Morocco, Afrika Kusini, na Algeria zinawezaje kuwa na sehemu nyingi za kuchezea zenye ubora na bado nyingine haziwezi hata kumiliki moja tu? πŸ€” Ghana kwanini? πŸ˜‚πŸ˜‚

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...