Thursday, November 2, 2023
KUIZOMEA AZAM KWA WAPONZA MASHABIKI WALIOZOEA DEZO KUANZA KULIPA VIINGILIO CHAMAZI
ZOMEA zomea ya mashabiki katika Uwanja wa Azam Complex imeifanya klabu hiyo kusitisha kuingia bure katika michezo yao.
Tangu Ligi Kuu imeanza mashabiki walikuwa wakipewa ofa ya kuingia uwanjani bure ili kuisapoti timu hiyo, lakini mambo hayakuwa hivyo na ndipo mabosi wakaamua kuondoa utaratibu huo.
Kuanzia mchezo wa juzi dhidi ya Namungo ambao wenyeji Azam FC walilala kwa mabao 3-1, mashabiki walioingia walilipia kiingilio cha chini cha Sh3,000.
MSANII ROMA MKATOLIKI AWAPONDA WAANDISHI MANABII WA UONGO WA BONGO
Baada ya msanii wa Nigeria Rema kupafomu kwenye jukwaa la ugawaji tuzo za Fifa usiku wakuamkia leo, Msanii wa Hip hop Roma ameamua kuwatolea uvivu waandishi na watangazaji wa habari wa bongo ambao wamekuwa na tabia zakuwabeza wasanii wa Bongo Fleva kwamba awatoboi kimataifa..!
Angalia video ya Roma akitoa ya moyoni hapa, Gusa link hiiπ https://linktw.in/hzffkv
#MinoTV
#Subscribe
#SupportUs
AL AHLY HAS TRAMLED IT WITH MAMELODI SUNDOWNS-OUT AFL-AHLY AMEYAKANYAGA IMEISHIA NUFU FAINALI YA AFL
They were crying for penalty, they got it. They were crying for red card, they got it. They were crying for VAR to be checked, they checked it. Spoil brat of CAF. Thank you Sundownsπ
Wednesday, November 1, 2023
HEEE CAF CL INA JAMBO LAKE HEBU CHEKISHIA
Lady and Gentleman
This year CAF CL will be on flames π₯π₯π₯. Who will be the most scorer of CAF CL 2023-2024
Aziz Ki π§π« - > Young Africans Sports Club πΉπΏ
Bouli Jr. π¨π²-> Wydad Athletic Club - WAC π²π¦
Clatous Chama πΏπ²-> Simba SC Tanzania πΉπΏ
Fiston Mayele π¨π©-> Pyramids πͺπ¬
Lucas Ribeiro π§π·-> Mamelodi Sundowns FC πΏπ¦
Mahmoud Kahraba πͺπ¬-> Al Ahly SC πͺπ¬
Percy Taus πΏπ¦-> Al Ahly SC πͺπ¬
Peter Shalulile π³π¦-> Mamelodi Sundowns FC πΏπ¦
Tiago azulΓ£o π§π·-> Petro de Luanda π¦π΄
Tuesday, October 31, 2023
THE BRITISH AMBASSADOR MR CONCAR HAS VISITED SIMBA SPORTS CLUB=BALOZI WA UINGEREZA AIYEMBELEA KLABU YA SIMBA
The British Ambassador in the country, David Concar has visited our offices in Masaki Dar es Salaam with the aim of understanding various aspects of the club's operations.
Concar has said that he is a good follower of the ball and that is one of the things that made him visit our offices.
Concar said Simba is one of the clubs that interest him in the country and he sees it doing better in domestic and foreign championships.
"I am happy to visit the Simba club, I am a good follower of football, that's why I came here to share my experience with the leaders of Simba," said Ambassador Concar.
The Chairman of the Board of Directors Salim Abdallah 'Try Again' has said that the arrival of Concar has been contributed to what happened in the opening of the African Football League championship two weeks ago because it was a big and historic event.
"What happened in the African Football League championship has further publicized Tanzanian football, I know it will not end here, Ambassador Concar will continue with our colleagues and this is a benefit for the country," said Try Again.
After meeting the Leaders and speaking with the Journalists, Ambassador Concar attended the team's training at the Mo Simba Arena before greeting the players.
Balozi wa Uingereza nchini, David Concar ametembelea ofisi zetu zilizopo Masaki Dar es Salaam kwa lengo la kufahamu mambo mbalimbali ya uendeshaji wa klabu.
Concar amesema yeye ni mfuatiliaji mzuri wa mpira na hilo ni moja ya jambo lililomfanya kutembelea ofisi zetu.
Concar amesema Simba ni moja ya klabu ambazo zinamvutia nchini na anaiona ikizidi kufanya vizuri katika michuano ya ndani na nje.
“Nimefurahi kutembelea klabu ya Simba, mimi ni mfuatiliaji mzuri wa soka ndio maana nimekuja hapa kubadilishana uzoefu na viongozi wa Simba,” amesema Balozi Concar.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Salim Abdallah ‘Try Again’ amesema ujio wa Concar umechangiwa na kilichotokea katika ufunguzi wa michuano ya African Football League wiki mbili zilizopita kwakuwa lilikuwa tukio kubwa na kihistoria.
“Kilichotokea katika michuano ya African Football League kimezidi kulitangaza soka la Tanzania, najua haitaishia hapa Balozi Concar itaendelea kwa wenzetu wengine na hii ni faida kwa nchi,” amesema Try Again.
Baada ya kuonana na Viongozi na kuongea na Waandishi wa Habari, Balozi Concar alihudhuria mazoezi ya timu katika Uwanja wa Mo Simba Arena kabla ya kusalimiana na wachezaji.
Subscribe to:
Comments (Atom)
FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE
Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...
-
TAARIFA KWA UMMA Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigiz...
-
π‘Taarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Yanga itasafiri Jumatatu hii November 20, 2023 kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza...





