Saturday, October 21, 2023

Kikosi cha Simba SC, Kimeanza safari Jioni hii Kuelekea Misri kwaajili ya Mchezo wa Marudiano wa mashindano makubwa mapaya ya African Football League dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Jumanne. Simba ndio timu pekee katika Ukanda wa afrika ya Mashariki ya kwanza na kubwa kulingana na historia yake kuliko timu nyingine yeyote licha kwamba bado baadhi ya mashabiki wa timu ya Young Africans wanalazimisha kutaka kuonekana kuwa wao ndio wenye historia zaidi kuliko timu ya Simba kwa kigezo cha Young Africans kushiriki fainali za Kombe ya Shirikisho chini ya CAF Huku Klabu ya Simba ikiwaimefika Robo fainali ya ligi ya CAF ya afrika mara Nne na ligi ya shirikisho mara tatu Agg: 2-2.

KIKOSI CHA MAMELODI VS PETRO ATLENTICO HIKI HAPA

MAMELODI SUNDOWNS YAIDONOA PETRO ATLENTICO DE LUANDA UGENINI LIGI KUBWA YA AFRIKA

MAMELODI Ikiwa ni miongoni mwa timu vigogo vya Afrika imeianza vyema safari ya mashindano ya ligi mpua ya AFL kwa kuibanjua Petro Atlentico de Luanda ya Angola Ugenini wafugaji wa magoli hawa hapa FT: Petro de Luanda 0- 2 Mamelodi Sundown ⚽ Marcelo Alliende 68 ⚽ Thapelo Maseko 81
MAMELODI SUNDOWNS of South Africa If they are one of the big teams in Africa, they have started the journey of the AFL league by defeating Petro Atlentico de Luanda of Angola. FT: Petro de Luanda 0- 2 Mamelodi Sundown ⚽ Marcelo Allende 68 ⚽ Thapelo Maseko 81 MAMELODI, being one of the big teams in Africa, has started the AFL league competition well by defeating Petro Atlentico de Luanda of Angola. Abroad, the breeders of these goals here FT: Petro de Luanda 0- 2 Mamelodi Sundown ⚽ Marcelo Allende 68 ⚽ Thapelo Maseko 81

WENGER AND IFANTINO CONGRATULATE THE PLAYERS OF SIMBA SPORTS CLUB IN A TOGETHER PHOTO

Viongozi na wachezaji wa Simba sports club wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mchezo wa ufunguzi wa ligi mpya ya AFL dhidi ya Al Ahly ya Misri
HAPA NA PALE KATIKA PICHA NA VIONGOZI WA SOKA DUNIANI
Simba football club players in a picture with Arsene Wenger, look at Manula the goalkeeper enjoying himself
WACHEZAJI WA SIMBA ANA KWA ANA NA MAAFISA WA FIFA WAMWAGIWA MISIFA YA KUFA MTU

FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE

Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...