Saturday, November 18, 2023
KHALID AUCHO APIGWA STOP KUCHEZA LIGI YA NBC
Kiungo wa klabu ya Young Africans Khalid Aucho amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya shilingi laki tano kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji Ibrahim Ajibu wa Coastal Union.
Mchezo huo uliomalizika kwa Young Africans kuondoka na ushindi wa bao 1-0
Aucho atakosa mechi zifuatazo
๐ Mtibwa Sugar (H)
๐ Tabora Utd (H)
๐ Kagera Sugar (A)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
FISTON MAYELE ASHINDWA KUTETEMA KWA PERCY TAU WA AL AHLY,CAF YAMUONA NI BORA KULIKO MAYELE
Mchezaji machachari wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na klabu ya Al Ahly Percy Tau amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani Barani...
-
TAARIFA KWA UMMA Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigiz...
-
๐กTaarifa za kuaminika ni kuwa Klabu ya Yanga itasafiri Jumatatu hii November 20, 2023 kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza...

No comments:
Post a Comment